Recent content by moudytz

  1. moudytz

    JamiiForums Tanzania Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    chumvi kwa kuogea au kuichoma ikinuia jambo lazima liende mkuu nimejionea mengi sana kwenye maisha yangu
  2. moudytz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Harakati zangu za kunifanya kuchelewa kufika mshindo

    supu ya kongoro plus karanga mbichi
  3. moudytz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akiwa hivi mimi Hoi

    unawataka ma uncle sio
  4. moudytz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wengi walioshika hela ukubwani wana wenge sana la wanawake

    Acha majungu
  5. moudytz

    JamiiForums Tanzania Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

    ml 8 mpaka leta nyingi sana mkuu na chenji inabaki mkuu
  6. moudytz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama hamtaki Mpenzi wangu

    nilishawahi kukutana na situation kama hiii aisee mamkwe alidai natumia pombe na bangi ila mke wangu aliniamini na kunipenda kufupisha tu story mama mkwe ananitegemea na anajutia aliyokuwa anayasemaisee ni miaka kumi sas
  7. moudytz

    JamiiForums Tanzania Chakula au vitu gani huwezi kuacha kula hata kama ukiwa Bilionea?

    kula shamba (mrungi)
  8. moudytz

    JamiiForums Tanzania Nimechoka, naenda kununua gari

    kama nimekuelewa hv mkuu
  9. moudytz

    JamiiForums Tanzania Mwanza, jiji linaloongoza kuwa na mbuzi watembea bure

    kuna mshikaji aliwahi kuiba hao mbuzi amekuwa kichaa mpka wa leo
  10. moudytz

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji fanya biashara ya Mbuzi, utakuja kunishukuru

    soko ikoje kiwandani kwa sasa wadau
  11. moudytz

    JamiiForums Tanzania Kwa wafanyabiashara wa dagaa na samaki

    Dagaa wanapima aje mkuu kwa kg au ujazo wa ndoo nipe mrejesho
  12. moudytz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kaniambia niache Bangi

    niliwahi kukutana na mwanamke wa aina hii na alitumia nafasi yake mpaka niliacha bangi mazima 🤲🤲 na ndio mke wangu now
  13. moudytz

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    fekon ni nzur sema ina mtetemo na inatumia sana mafuta
Back
Top Bottom