kama nimekuelewa hv mkuuWengine watakwambia ukanunue kiwanja Kerege ujenge sababu ni asset.
Nunua ndinga hiyo leta heshima, binadamu hajawahi kukosa sehemu ya kulala, ila anakosa usafiri.
Japokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu.
Sasa hapa ninapoishi vijana wenzangu wote wana magari kasoro mimi sasa naona kama najifeel inferior sana, niliwahi omba ushauri humu JF wengi walinishauri nisinunue gari kwa kufuata mkumbo ila sasa naona uzalendo umenifika hapa.
Nimepanga kununua gari nina akiba yangu ya 4M bank na ninaenda kukopa 3.5M naenda kununua ist. Kwa mliokwisha kuwa na magari ya mikopo staili hii ni changamoto gani ninaweza kukumbana nazo na je utakuwa uamuzi sahihi?

Kajifunze kuandika kwanza ndo uje utoe ushauriC ununue tuh pikpik hilo gali l milion 7 mbn nd dharau zitazid kwan rafik zako wana magar y aina gan
Ulinunua gari gani mkuu?Nimenunua gari sasa huu ni mwezi wa tisa toka ninunue gari na sijwahi kushindwa kuifanyia servicewala kuihudumia mafuta na ninaenda nalo kazini kila siku na weekend naenda nalo kutembelea....Kuwa na nia Mungu atafungua njia...Sasa ninampango wa kuupgrade kwenda kwenye crown
Ukinunua crown hiyo ya sasa uniuzie mimi mkuu.Nimenunua gari sasa huu ni mwezi wa tisa toka ninunue gari na sijwahi kushindwa kuifanyia servicewala kuihudumia mafuta na ninaenda nalo kazini kila siku na weekend naenda nalo kutembelea....Kuwa na nia Mungu atafungua njia...Sasa ninampango wa kuupgrade kwenda kwenye crown
IST ya mil 7,kaka hio haitakuwana gharama ndogo kuihudumiaNunua, tena ist ni gari yenye gharama ndogo kuihudumia.
Kama hiyo hela yako 7.5M uliiweka Utt kwa sasa ungekuwa na jumla ya sh.ungekuwa na 10m,Japokuwa wanasema usifanye kitu kwa kuiga au kuhisi watu watakuonaje ila inafika point unaamua ufanye tu ili upate amani. Mimi ni kijana naishi Dar mshahara wangu ni kipato cha kati tu.
Sasa hapa ninapoishi vijana wenzangu wote wana magari kasoro mimi sasa naona kama najifeel inferior sana, niliwahi omba ushauri humu JF wengi walinishauri nisinunue gari kwa kufuata mkumbo ila sasa naona uzalendo umenifika hapa.
Nimepanga kununua gari nina akiba yangu ya 4M bank na ninaenda kukopa 3.5M naenda kununua ist. Kwa mliokwisha kuwa na magari ya mikopo staili hii ni changamoto gani ninaweza kukumbana nazo na je utakuwa uamuzi sahihi?
Gari muhimu uwe nayo kwanza uipaki hapo nje. Wese huletwa na madili. Ukiwa na gari ni rahisi kufukuzia dili au kuletewa dili la pesa (mchongo). Pia unaweza kujikakamua mara moja moja ukaweka wese kwa mitoko maalumuNunua ila bei ya wese sas HV Ni Lita Ni 3140 na Bado itapanda kufikia 3500
Wewe unayo akili nyingiKwa sasa hivi Dar na hizi foleni, purukushani za barabarani kugonga, kugongwa, tafuta nyumba sehemu ambayo ukibolt kwenda kazini haizidi elfu 2. Enjoy maisha waone wenye magari kwa kufuata mkumbo wakiteseka, nilinunua Gari 2021 ila niliuza nikanunua mashamba Bagamoyo na Share za UTT. Kwasasa natenga laki moja ya Bolt kwa mwezi na bado nakuta natumia kama elfu 80 tu, sasa gari hiyo ni hela ya oil tu bado mafuta 250k per month, na uombe Mungu usipige pasi gari ya watu vi saving vyako vyote vinaishia huko...nikifikisha kipato cha 4M kwa mwezi nitanunua tena, napenda Gari za shamba kama Hilux, Nissan Patrol ama Prado Mchagga.
Nb. Nilinunua IST showroom 14M na baada ya kununua niliichukia sana maana kuna sehemu ilikua haiwezi kupita Labda kabebwe juu juu ila bado kananicost sio chini ya 300k na spare zake sahivi zimechangamka bampa la mbele huna laki sita utanunua la kuunga taa ukiipasua ndio usiseme 😂.
Unanunua gari uku tunakutana uzi wetu pendwaGari ni muhimu sana, kama una uwezo wa kununua na kulihudumia nunua tu.
Vipi mkuu, tupo EM series sasa hivi. Usafiri umeshachukua tayari?Sio mbaya, maono yangu ya kumiliki kagari 2020 yalizimwa na COVID na janga jingine la kifamilia but soon kwenye namba E nimo
🤣🤣🤣🤣 cha msingi unalo. Siku kama hizi unavimba nalo then linapark tena hadi next month.Unanunua gari uku tunakutana uzi wetu pendwa