Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 53,767
- 99,657
Unaijua bangi au unajifurahisha kuandika?Au tayari yaleyaleee!?Utaanza kuiruka njiti ya kiberiti kama unaliruka gogo sasa hivi.Wwe unazungumzia pombe au Jani! Hayo unayosema ni tabia za Walevi wa pombe!!