Recent content by motonkafu

  1. motonkafu

    JamiiForums Tanzania Naangalia taarifa ya habari ITV ghafla imeingia EATV na Miziki

    Nilishaisahau itv baada ya kuanzishwa azam tv, nina miaka sijaona taarifa yao
  2. motonkafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilidhani story, kumbe haya mambo yapo kabisa

    Kwani jamaa aliondoka na papuchii??? chungulia chini kama ipo hakuna cha kukishauli apo
  3. motonkafu

    JamiiForums Tanzania Msaada :Nimetumia dawa na kufanya vipimo mara kadhaa lakini vipele haviponi

    Yaani unaogopa ako kakipele kweli wabongo waoga sana , yaani ako mi ningekatumbua na ukucha tu afu ningesizi
  4. motonkafu

    JamiiForums Tanzania Picha ya kufikirisha weekend hii...

    Uyo tembo msela sana namfaham
  5. motonkafu

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais angalia haraka mishahara ya marubani wako ATCL ni kidogo mno kulinganisha na makampuni yote ya ndege Tanzania

    Ata mi ningeuliza ili swali, kidogo kidogo kiasi gani
  6. motonkafu

    JamiiForums Tanzania Alama ya maziwa kwa mwanaume ina kazi gani?

    Kunyonyesha
  7. motonkafu

    JamiiForums Tanzania Alama ya maziwa kwa mwanaume ina kazi gani?

    Mkuu mbona kama io usanemu ya jinsia ya kiume
  8. motonkafu

    JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump amesema kwamba hatoziwekea vikwazo vya kibiashara nchi za Tanzania, Uganda na Kenya

    Kwa hali tuliyonayo bado tunahitaji sana mitumba itutoe la sivyo tukubali kujifunika mashuka ya mmasai na vitenge manaake sidhani kama tina kiwanda chochoye cha matisheti na vimodo
  9. motonkafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Salama ya ndoa ni mke amuheshimu mume

    Na wengi wanaotaka usawa wanaishia kuachika
  10. motonkafu

    JamiiForums Tanzania Namfua: Singida United imefuzu kwa kuichabanga Yanga goli 4 kwa 2 kombe la shirikisho

    Vyuraa wamekufaa kifo kibayaaa
  11. motonkafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Huu ushauri ni mzuri sana kozi ukihama mazingira kuna posibilite kubwa ya kusahau yaliyotokea, au kama kuhama ni ishu akaushe tu kwani haonagi siri za familia kale ka mcheza ka eatv kana mafunzo ndani yake
  12. motonkafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Mkuu.aya maelezo ya mwisho ya msingi sana
  13. motonkafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu kaniambia mtoto wa kwanza sio wangu na baba yake anamuhitaji

    Take iz man ata vituo vya watoto yatima wanalea watoto si wao sembuse wewe, io ni ishu ndogo sana. Ila ubovu umeufuga mwenyewe, mtu una malengo naye afu unamruhusu achati na wanaume wengine kizembe ivo afu unasema ulikua unapotezea, huo uzungu ndo unawaponza, mi japokua nna smatphone lakini...
  14. motonkafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ana makosa mengi ya kiuandishi yanayojirudia rudia kila mara

    Sasa ata uku wapo mmoja alilalamika "nambie mbwana, unakunja au aunji" nikajiuliza ni kuchapia tu au kiswahili kinamtekenya
  15. motonkafu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimejifunza kuheshimu wanawake

    Subiri asahau uchungu wa leba atakuchenjia gafla, i no weli dhisi oganizimusi
Back
Top Bottom