Nimejifunza kuheshimu wanawake

Nimejifunza kuheshimu wanawake

Eeh bora mtuheshimu tu ili mbarikiwe

hivi unafikir baraka zinakuja kwa kumheshimu mwanamke tu?
Hamchelewi kutuweka kwenye vibobo tunabaki tunatoa mate tu. Nyinyi viumbe mnatakiwa kuishi na nyinyi kwa machale kweli
 
Subiri asahau uchungu wa leba atakuchenjia gafla, i no weli dhisi oganizimusi
 
Kuangalia mwanamke anazaa yahitaji ujasiri
 
Mtuheshimu mnooo, tena narudia mnapaswa kutuheshimu mnooo.
 
Back
Top Bottom