Picha ya kufikirisha weekend hii...

Picha ya kufikirisha weekend hii...

Imetokea Kruger park, South Africa. Game scouts walikuwa wanamfuatilia simba jike aliyembeba mwanaye, baada ya umbali wa kilomita mbili, alionekana kuchoka. Suddenly, akatokea tembo ambaye alionekana kutaka kutoa msaada, akaweka mkonga wake chini, yule mtoto wa simba akapanda, wakaanza kutembea kama inavyoonekana pichani.
Haijawahi kutokea before, and no body knew this was possible.

Jumapili njema.

29790542_1953753841361602_8979374199409660560_n.png
Amazing couple with a lovely kid
 
Poor photoshop
 
Naungana na matomaso hapo juu, isiwe kampeni ya kutuibia watalii wetu
 
Tatizo ni Media, picha tatu tofauti, kama scale za macho yako nzima utazoom vzuuur
 
Simba Wanafiki saaaana Kama CCM. Hivi kweli Simba angekutana na Tembo kwenye matatizo Kama hayo angemsaidia au ange-take advantage??
 
Wanyama sikuizi wamekuwa na utu kuliko hata cc bnaadamu.
 
Imetokea Kruger park, South Africa. Game scouts walikuwa wanamfuatilia simba jike aliyembeba mwanaye, baada ya umbali wa kilomita mbili, alionekana kuchoka. Suddenly, akatokea tembo ambaye alionekana kutaka kutoa msaada, akaweka mkonga wake chini, yule mtoto wa simba akapanda, wakaanza kutembea kama inavyoonekana pichani.
Haijawahi kutokea before, and no body knew this was possible.

Jumapili njema.

29790542_1953753841361602_8979374199409660560_n.png
Edit
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom