Huyu mukama anaonyesha usanii hana lolote la maana kwa watz na chama chake cha wezi na mafisadi waliokubuhu kama kweli yu serious aanze na mwenyekiti wake kwani naye ni fisadi na mfanya biashara
Jamani hata mie nimemsikiliza kuanzia mwanzo alipoulizwa juu ya raisi kuteua tume na kuonesha wao kama serikali wanaona ni bora tume iteuliwe na RAIS kwa kuangalia tume za nchi nyingine kama Kenya,uganda,zambia na alionesha kulidhia wazo hilo pamoja na kwamba watz wengi tunaona hafai kwani...
mzee wa hoja,unatakiwa kabla ya kutoa maoni yako jichunguze hayo unawaeleza watu wa aina gani mtaji wenu wa ccm kutumia umasikini na ufahamu mdogo wa watz umetotana hauna nafasi tene kwa tanzania ya leo.be carefully on ur coments.
Hakuna lolote hapo ccm ni ileile na wezi ni walewale kwa mwenye uwezo wa kufikiri huwezi kukubaliana na ujinga wa ccm wa kuwahaadaa watz, jamani sekretariet yote bado ni wezi wakuu wa mali za nchi hii kuweni makini na wala ushishangilie matukio tuangalie matokeo.
Tuache ushabiki wa ccm kwa kwa masuala yanayolihusu taifa hili kwani TANZANIA itakuwepo hata bila ccm, hivyo zama za kutishana zimepitwa na wakati kwa wale wote walioshiriki kuaandaa mswada wenye mapungufu ya wazi ya kutaka kubeba ccm na serikali yake.
Serikali ya kikwete kama ina dhamira ya dhati ya kupatikana kwa katiba mpya ni sharti izingatie mawazo ya watz na sio mawazo ya serikali yao ambayo haina mvuto kwa watz,serikali yake ielewe watz wa leo wanaelewa kinachoendelea ndani ya serikali yake.angalizo "endapo watafikiri ccm ndo yenye nchi...
Huwa nashindwa kuwaelewa wote wanaotumia udini kujali masuala ya msingi yanayohusu maisha yetu ya kila siku,mtu mwenye hekima huwezi kuongelea dini kwa sababu tu kiongozi mmoja kashindwa kutetea hoja za msingi sasa nawe umekuwa zuzu kwa kushabikia udini.Tuangalie mstakabari wetu na sio udini,.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.