Katibu wa CHADEMA(W) apokea fedha kutoka CCM

Katibu wa CHADEMA(W) apokea fedha kutoka CCM

wapigie simu kanda hapo mtwara naamini namba za mwenyekiti na mratibu wa kanda unazo. kama namba huna omba hata kwa wenzako wanazo.
 
Kama taarifa hii ni ya kwer, basi akatubu lasivyo laana na hasira za mwenyezi Mungu zitamtafuna na vizazi vyake.
USALTI NI KITU KIBAYA.
niambie kuhusu EDO na wengine waliohama kutoka ccm;je,nao laana ya usaliti itawatafuna?
 
Wakuchunguzwa kwa sasa ni viongozi wa makao makuu cdm hasa mbowe, kabla ya huyu wa wilaya. Waungwana tunajiuliza cdm na mbowe walizunguka tena nchini kote wakisema na kutuaminisha, ccm na lowasa mafisadi iwe je leo wanamwita mkombozi wa pili?

Makao makuu cdm na mwenyekiti wenu toene kwanza boroti lenu, ndio muone kibanzi huko wilayani
 
Ukichunguza utakuta huyo katibu sio mchaga.

Anaundiwa zengwe si unajua kanda ya kaskazini wanajipanga. Usikute kuna mchaga au mpare au muarusha huko Newala wanataka kumpa nafasi hiyo. Sijui kwa Majitu ya Tanzania hayastuki!!
 
ukawa kuweni makini sana.kiongozi yoyote atakayekuwa kikwazo cha kwenda na kasi ya mabadiliko asimamishwe mara moja.
 
mtu mwenye kejeli kwa jina la mwenzie afai kuingia ikulu maana huyo nimtumwa wa fikra
 
Anaundiwa zengwe si unajua kanda ya kaskazini wanajipanga. Usikute kuna mchaga au mpare au muarusha huko Newala wanataka kumpa nafasi hiyo. Sijui kwa Majitu ya Tanzania hayastuki!!
Zengwe tena?
 
Kwataarifa yako sasa isifikiri mikoa yote yakanda ya ziw wanamuunga magufuli pol naimekul kwako tukianza na mwanza ndokabisa hawataki kumsikia tingatinga
 
Hapo ndio tutaona Nyani haoni kund............ Kama Mbowe atamshughulukia huyu kiongozi.
 
SAFARI ya ukombozi haikosi wasaliti hta kina canaan banana walimsumbua mugabe
 
Back
Top Bottom