Duuuuuh hakika chadema kanda ya ziwa ya tosha, mbowe amesema ni marufuku kwa wanachadema kulalamika kuwa kura zmeibiwa kwan ushindi wa upinzani cku zote hupatikana kwa damu, mabomu or great fight, hvyo wanbuchosa wa kata ya lugata wameaswa kupambana kwa gharama yeyote katika chaguzi zijazo
Hapa Sengerema kuna watu wengi katika uwanja wa Mnadani. Nimeuliza kwa kwa watu nikaambiwa kamanda wa anga yupo na makamanda wake wakitoa elimu juu ya katiba mpya.
Sasa hivi Mnyika ndio anaongea lakini simu yangu haina uwezo wa kuchukua picha nzuri ila ntapost kulingana na uwezo wa simu yangu.
mbona mm nmeskia kesho mbowe atakuwa ushirombo kwa kahigi? Hebu tuwekane sawa maana sahv niko pande za nyehunge naelekea sengerema then ushirombo kumwait kamanda wa anga...
very sorry wanajamvi ni tarehe 18 august 2013 wakati huohuo makamanda wa jimbo wataanza kuwasha moto wa mabadiliko kwa cku kumi na nne kuanzia tarehe 03 august mpka tarehe 17, katika kata ya bukoli, butobela, bujula na kamena na taratibu za maandalizi yako tayari.. Kutakuwa na kamanda Vedastus...
Katika pitapita yangu katika mitaa mbalimbali za katoro nimebahatika kukutana na Katibu wa jimbo la Busanda (CHADEMA) bw Veda pamoja na diwani wa kata hiyo bwana Gervas (aliyevuliwa uanachama) lengo likiwa ni kutaka kujua uhai wa CHADEMA, kwa taarifa nilizozipata ni kwamba CHADEMA bado iko moto...
Hongereni mlio na wabunge wa ukweeeeli... Vp huyu mnamjua bw Agustino masele manyanda-mbogwe-geita aiseeee huyu ni janga la kitaifa... Tuna omba sana nguvu ya umma izamie pande hzo maana jimbo liko waz kabsa...
Makamanda karibun sana hapa kimandolu, tuko na diwani wetu Ngowi pamoja na mawakala wote waliosimamia uchaguzi kwa uaminifu wa hali ya juu, hapa stereo lodge saa 3:00alasiri (kijenge) more update to come....
Ushindi tulioupata ukilinganisha na jinsi nguvu kubwa ilivyotumika kuzrusha hzo kata magamban ni kigezo tosha cha kushangilia, pia kitendo cha kurudisha kata regardless ya kuwa tulifuza wasaliti na baadhi ya kuchukua fomu kupitia vyama vingene lakin wameambulia kura za aibu... Magamba walituma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.