Mnyika, Mbowe na Lissu waitikisa Sengerema mda huu

Joined
Jun 21, 2013
Posts
47
Reaction score
29
Hapa Sengerema kuna watu wengi katika uwanja wa Mnadani. Nimeuliza kwa kwa watu nikaambiwa kamanda wa anga yupo na makamanda wake wakitoa elimu juu ya katiba mpya.

Sasa hivi Mnyika ndio anaongea lakini simu yangu haina uwezo wa kuchukua picha nzuri ila ntapost kulingana na uwezo wa simu yangu.
 
Inafurahisha sana kama Elimu ya Katiba inafika hadi Nyehunge, bila shaka ni Sengerema huko. Viva CHADEMA
 
Hawa nao wanahangaika tu wamekuwa kama maomba omba kutwa yanazulula huku na kule,
yatabora wanayataka wao,yasingida wanayataka wao,kila sehemu wanayataka wao,watazua baraa wazee hawa.
 
watu wanatikisa anga kwa anga, wengine wanahangaikia madiwani 8; aisee!!!
 
Hawa nao wanahangaika tu wamekuwa kama maomba omba kutwa yanazulula huku na kule,
yatabora wanayataka wao,yasingida wanayataka wao,kila sehemu wanayataka wao,watazua baraa wazee hawa.
Nyie si mlisambaza barua za siri kama mnaomba uchumba mabaraza yetu ni ya wazi.
 
Hawa nao wanahangaika tu wamekuwa kama maomba omba kutwa yanazulula huku na kule,
yatabora wanayataka wao,yasingida wanayataka wao,kila sehemu wanayataka wao,watazua baraa wazee hawa.
Husingejiunga jana ukasubiri ukue kidogo! Jana tu leo unaleta matapishi jukwaani? Pole you.
 
Kamanda mbowe endelea kuwagonga konzi za utosi hadi waone kizunguzungu
 
Hawa nao wanahangaika tu wamekuwa kama maomba omba kutwa yanazulula huku na kule,
yatabora wanayataka wao,yasingida wanayataka wao,kila sehemu wanayataka wao,watazua baraa wazee hawa.
wewe ni -------- zaidi kuliko moja ya mawaziri wakuu hapa Afrika mashariki.
 
Hawa nao wanahangaika tu wamekuwa kama maomba omba kutwa yanazulula huku na kule,
yatabora wanayataka wao,yasingida wanayataka wao,kila sehemu wanayataka wao,watazua baraa wazee hawa.
haaa balaa gani mkuu?
 
Teh teh yuko na mzee wa sheria kamanda lissu, ni noma! Natamani lissu agombee uenyekiti chadema!
 
Hawa nao wanahangaika tu wamekuwa kama maomba omba kutwa yanazulula huku na kule,
yatabora wanayataka wao,yasingida wanayataka wao,kila sehemu wanayataka wao,watazua baraa wazee hawa.

kwako lip jema. kutoa elimu au kuhadaa wannchi na kuwabambikia kesi na kuwalipua mabomu. viva cdm mungu u pamoja nanyi
 
Hapa Sengerema kuna watu wengi katika uwanja wa Mnadani. Nimeuliza kwa kwa watu nikaambiwa kamanda wa anga yupo na makamanda wake wakitoa elimu juu ya katiba mpya.

Sasa hivi Mnyika ndio anaongea lakini simu yangu haina uwezo wa kuchukua picha nzuri ila ntapost kulingana na uwezo wa simu yangu.

Kamanda wangu ninamwamini ZITTO KABWE naye yupo?
 
Back
Top Bottom