Mnyika, Mbowe na Lissu waitikisa Sengerema mda huu

Mnyika, Mbowe na Lissu waitikisa Sengerema mda huu

Chadema mwendo mdundo,fichua mafisadi.....
Maoni ya katiba kwa uwazi safi sana chama changu na tuwapuuze wale wanaojufungia chumbani.....
 
wakuu niko mjini mwanza naona vijana wamepagawa na ujio wa hao watu,kila kijana kama hana sikafu ya chadema utamkuta na kombati.
mkutano wa hapa ni magomeni saa tisa.
 
nadhani pia hali ya kisiasa ya William Ngeleja ndani ya Sengerema sio nzuri wakuu!
 
Hawa nao wanahangaika tu wamekuwa kama maomba omba kutwa yanazulula huku na kule,
yatabora wanayataka wao,yasingida wanayataka wao,kila sehemu wanayataka wao,watazua baraa wazee hawa.

Kwani mipaka ya Tanzania inaishia wapi?
Kama wanafanya ndani ya ardhi yetu ni haki yao kwa sababu katiba ni mali ya watanzania wpte-Tabora, Singida nao ni wa-TZ
 
Duuuuuh hakika chadema kanda ya ziwa ya tosha, mbowe amesema ni marufuku kwa wanachadema kulalamika kuwa kura zmeibiwa kwan ushindi wa upinzani cku zote hupatikana kwa damu, mabomu or great fight, hvyo wanbuchosa wa kata ya lugata wameaswa kupambana kwa gharama yeyote katika chaguzi zijazo
 
Haaa chadema wameamua, na ni uthibitisho kuwa agenda ya katiba mpya ni ya chadema!
 
Hawa nao wanahangaika tu wamekuwa kama maomba omba kutwa yanazulula huku na kule,
yatabora wanayataka wao,yasingida wanayataka wao,kila sehemu wanayataka wao,watazua baraa wazee hawa.
Wewe nae sijui Kama utaambulia hata buku2, umejiunga jana tu lakini hata point huna, kiswahili shida, Lumbumba project is at its critical moment.
 
Nyie si mlisambaza barua za siri kama mnaomba uchumba mabaraza yetu ni ya wazi.


Ahsante inatosha.... Tunashirikisha wananchi wote wenye vyama na wasiyo na vyama, Huu mchakato ccm waliudandia ndiyo maana unawahangaisha usiku na mchana. Chadema tuliona mbali tuka watupia kamba sasa wanajisokota nayo. sisi taratibu na Agenda yetu ya kuandika Katiba ya Wananchi.
 
Back
Top Bottom