Lema kufanya siasa ni
ishara ya utawala bora wa Chama Cha Mapinduzi na uongozi bora wa Jakaya
Kikwete. Hivi mnajua kuwa kuna nchi ambazo wezi wa magari hawatakiwi
hata kupiga kura, achilia mbali kuwa wabunge?
Nchi ipi unaweza kumtuhumu mtu kuwa ni mwizi bila ushahidi na ukabaki salama kama si hii yetu ya maneno matupu.