Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
woiyeee.....wewe mpaka unatia huruma maskini.......kweli una hasara........
mimi ni full majanga.
ameuza eneo lenye madini ya dhahabu na kuwahamisha wananchi kwa milioni 240
woiyeee.....wewe mpaka unatia huruma maskini.......kweli una hasara........
Kama ni huyo sitaki hata kumsikia, si ndiyo yule aliyekosa penalti ya mwisho usiku wa matumaini pale National Stadium.Wakuu,
Kama mwananchi wa TZ ninawakilishwa katika nyumba ya kutunga sheria na mbunge ambae alipata kura mingi kumtosha akatuwakilishe,cha ajabu ni analala,kawa bubu,haulizi swali wala hajibu lolote,hana hata ile kunyoosha mkono!
Najuta kuwakilishwa na jamaa. Jamaa anamiliki magari ya dar-moro yana rangi nyekundu.Ata kutaja jina naona uvivu..
Aya wakuu waliokula hasara kama mimi tufunguke!
bi kidude nini?mi wa kwangu toka nazaliwa enzi za nyerere hadi sasa yupo mjengoni ila kwa sasa mafisadi papa wamempa u monitor katika kijiwe cha mipasho inayoongozwa na viti maalum. Ana bahati kasema hagombei tena.
Duu! Lusinde janga la mtera hata nashindwa kumwita mbunge wangu! Msiomfahamu ni yule aliyetukana alumeru na igunga, ni yule aliyesema nitaongoza wananchi kung'oa nguzo za umeme, ni yule aliyetuahid gari la kubebea maiti et wasiumie badala ya ambulance ya wagonjwa,ni yule aliyetuahid majokof ya kuhifadhia maiti, anapenda tufe? Ni yule wa darasa la 4 la zaman,ni mc wa malecela, ni mlopokaji, ni yule anayetukana wafanyakaz hasa walim, ni yule ambaye toka uchaguz hajakanyaga kijijin kwangu,ni yule aliyemwambia jk amsamehe kwa uropokaj kwan ni mgonjwa anayeanza kupona,kimaendeleo hajafanya lolote.
wa kwangu naogopa hata kumtaja ...TLP mmmh!!! :sad: