Recent content by Mosimo

  1. M

    Wife Material ndio yupi?

    My husband wants this kind of a woman. Something which I am not.
  2. M

    Katika hili viongozi wa kiislamu hamtendi Haki

    Alafu kweli, hamna muislamu aliyekemea mambo ya serekali, na ni dini ya haki eti.
  3. M

    Jamii forums app clone + modification kwa kutumia flutter

    Unatengeneza app Kwa Bei gani ndugu?
  4. M

    GE2025 Mpina: Nchi yetu inahitaji kukombolewa upya, Hatuwezi kunyamaza, tutaenda kuwafuta machozi Watanzania

    Aseme tuhuma zinazomkabili, kwamba yeye na chama chake ni CCM B
  5. M

    Yaaan ndoa imenishinda asee

    We nae unamtafutia sababu tu ya kumuacha, kwani ukimpisha unapatwa na nini?, kwani mwili wake hauujui? Unataka uufahamu Tena Kwa mara nyingine?. Umri wako ndo unakufanya useme haya mkuu. Unafeli.
  6. M

    Kero: Mdudu mla mbao juu ya dari dawa yake ni nini?

    Sometimes wanaoweka dawa wanaoweka rangi ya ukili wakidanganya wateja kwamba ni dawa ya mbao.
  7. M

    Tuache utani hili konokono la jamiiforums linatisha sana hakuna mbadala

    Siku ya kwanza namuona ni nilidhani nimekosea njia nimeingia kwenye app nyingine.🤣
  8. M

    Ijue nguvu ya kulalamika Ili kutoboa kimaisha

    Kwangu Mimi ilifanya Kazi ila nilikuja kujilaumu, nikamnyima mtu wa karibu, kumbe I was her only hope.
  9. M

    Maziwa ya Mama anaenyonyesha Kukata ghafla.

    Miezi Saba naona anaweza acha kunyonya tu .
  10. M

    Ninahitaji Mwanamke Tasa (Mwanamke asie na uwezo na kushika mimba na kuzaa)

    Husemi wewe utamfanyia nini ila unataka yeye ndo ajitoe kwako na Kwa watoto wako. Kweli wewe mbinafsi.
  11. M

    Mtaalam wa kutengeneza Cripsi za ndizi

    Nazipenda sana Huwa natengeneza za kula nyumbani.
  12. M

    Nina high s3x drive. Je, nina shida? Nifanyaje?

    Kweli binadamu tunatofautiana.
Back
Top Bottom