Wife Material ndio yupi?

Wife Material ndio yupi?

According to Africans, wife material ni mwanamke fala who behaves like a sheep, yeye kila kitu sawa mme sawa mme okay mme, haruhusiwi kufanya kazi wala kuwa huru na shughuli zake ila kusikiliza tu mme muda wote.
Ni mwanamke fala ambae hana sauti ndani ya nyumba hasikilizwi anaeishi kwa kunyanyasika ila yupo tu yeye anadai anavumilia.
I guess am right Jadda say something about wife material 😅
Yani umepiga mule mule Sina cha kuongeza hapo 😂😂
 
According to Africans, wife material ni mwanamke fala who behaves like a sheep, yeye kila kitu sawa mme sawa mme okay mme, haruhusiwi kufanya kazi wala kuwa huru na shughuli zake ila kusikiliza tu mme muda wote.
Ni mwanamke fala ambae hana sauti ndani ya nyumba hasikilizwi anaeishi kwa kunyanyasika ila yupo tu yeye anadai anavumilia.
I guess am right Jadda say something about wife material 😅
My husband wants this kind of a woman. Something which I am not.
 
Wife material is a man made idea. Mwanamke anaweza kujiweka kama "wife material" kutimiza lengo lake na kukuaminisha na bado usijue. Hivi vitu havina muongozo.
Soma tena ulicho andika uone kama unamake sense
 
According to Africans, wife material ni mwanamke fala who behaves like a sheep, yeye kila kitu sawa mme sawa mme okay mme, haruhusiwi kufanya kazi wala kuwa huru na shughuli zake ila kusikiliza tu mme muda wote.
Ni mwanamke fala ambae hana sauti ndani ya nyumba hasikilizwi anaeishi kwa kunyanyasika ila yupo tu yeye anadai anavumilia.
I guess am right Jadda say something about wife material 😅
Ndio akili yako imeishia hapa.
 
Back
Top Bottom