Ijue nguvu ya kulalamika Ili kutoboa kimaisha

Ijue nguvu ya kulalamika Ili kutoboa kimaisha

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
23,027
Reaction score
33,003
Kibongo bongo Ili utoboe inahitajika unafiki wa kiwango Cha mossad (SGR).....Ili kufanikisha projects zako
Since wabongo wakishaona una dalili za kujipata Kila mtu atataka utatue shida zake hata zile unnecessary Kwa wiki unaweza Kuta unapokea simu za shida hata 4 kiasi Kwamba hata projects zako zitakua hatarini

Kulingana na research nilioifanya yenye title: THE IMPACT OF COMPLAINING IN PROMOTING INDIVIDUAL ECONOMY.
Kutoka mzumbe...imeleta solution zifuatazo.....

1. Ukipokea simu ....pale unapewa salamu .....wewe lalamika Kwa Ugumu wa maisha [emoji23]
2: Usiulize sijui mnaendeleaje....Hali ya maisha .... wewe lalamika tu
3: Usijali hata ukifa watakuzika tu...hawawezi kukuacha[emoji23]

Note: hii theory haifanyi kazi kwa mademu .... unless wewe ni member wa Chaputa
Since the more unalalamika Kwa mademu ....the more watakukimbia ... other factors remain constant

NB: Labani og lazima nifanye research.....since no research no right to speak
1748809019795.jpg

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi 100%. Ukiwa mfanyabiashara ndo unatakiwa useme una madeni mengi na TRA wanakuandama. Kwa wale sugu wa mizinga inatakiwa kabla hawajakupigia uwapigie wewe na kuwaomba ushauri ufanyeje kwa jinsi hali ilivyo mbaya kiasi kwamba usipoenda jela basi mirembe kwa kuchanganyikiwa. Kuhusu madem pia hivyohivyo ili wajichuje na kubaki mmoja wa shida na raha. Sio madem wote wanakutaka kisa pesa.
 
Hiyo research yako inaonekana uliifanya kwenye daladala ukielekea Ubungo, full assumption, zero data! Wabongo si tatizo, tatizo ni mindset yako ya kutaka kuonekana Messiah wa kila mtu.
Leta no ya Whatsapp
Nikulushie research data
-Sample
-Research methodology nliyotumia
-Sampling techniques

Na research hypothesis

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi 100%. Ukiwa mfanyabiashara ndo unatakiwa useme una madeni mengi na TRA wanakuandama. Kwa wale sugu wa mizinga inatakiwa kabla hawajakupigia uwapigie wewe na kuwaomba ushauri ufanyeje kwa jinsi hali ilivyo mbaya kiasi kwamba usipoenda jela basi mirembe kwa kuchanganyikiwa. Kuhusu madem pia hivyohivyo ili wajichuje na kubaki mmoja wa shida na raha. Sio madem wote wanakutaka kisa pesa.
Then wataanza kukucheka na kukutangaza Kwamba umefirisika[emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom