Recent content by morokwetu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya selcom

    That is fact. Fuatilia e-government utaona. Angalia kama faini za road unalipia selcom,angalia kama chet cha kuzaliwa unalipia selcom. Now luku wanahamia huko e-payment.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nauza mashine ya selcom

    Biashara ya hzo mashine inazidi kushuka cause hata luku kunzia tarehe mbili next month haitaweza kununua tena.
  3. M

    JamiiForums Tanzania UDSM kurusha satellite ya mawasiliano 2023

    Mmmh ngoja tuone kama itawezekana maana mkataba mdogo tu wa mlimani umekuwa vituko.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Shilawadu ni cha kulaaniwa

    Tatizo linaanza kwetu wazazi.haiwezekani unakaa sebleni mpaka saa sita usiku mnaangalia Shilawadu na watoto.mzaz anayejitambua huwez muacha mtoto wako aangalie shilawadu.muache aangalie akili akili. Kiba 100 haah haaah
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aliyemrekodi mtoto Dorcas na wimbo wa chura asakwe

    Kweli kabisa sio sahihi kabisa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wenye picha za Mji wa Chato wekeni hapa

    Nafikiri mgetuma picha nyingi za huko "ingependeza zaidi"
  7. M

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa vigezo vya kupandisha vyeo na mishahara watumishi wa umma

    Atapanda kwa kuwajibika mkuu haya nfan ya mwaka mmoja tu.au hujamsikia Katibu mkuu wa wizara[emoji1] [emoji1] [emoji1]
  8. M

    JamiiForums Tanzania Flat tv (starx)

    Nataka home base nch 32 napata?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta simu samsug 3s mini mwenye nayo

    Wadau kama kuna MTU anauza simu tajwa hapo juu tuwasiliane.
  10. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    mkuu home base inch 42 unazo? sh ngap?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha tuzungumze magazeti-radio free afrika kinaelekea kupoteza umaarufu

    walipigwa mkwara kusoma habar za ndani Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sitafanya romancy ya kumlamba mwanamke tena kipindi cha mapenzi

    [emoji1] [emoji1] [emoji1] Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Tanzania Pata simu bomba kwa bei rahisi

    ngoja nije inbox
  14. M

    JamiiForums Tanzania Pata simu bomba kwa bei rahisi

    Nina 150,000 mkuu. VP naweza ipata?
Back
Top Bottom