wewe ni msemaji wa hao watanzania au wewe ni msemaji wa makampuni ya simuTanesco, mamlaka za maji, tra, wamekata mguu, utabaki kuuzia vocha tu, ambazo Nazi sasahivi watanzania wamehamia kwenye kuunganishwa vifurushi kwa mawakala, hata mauzo ya vocha za kukwangua yameshuka mno
wewe ni msemaji wa hao wafanyabiashara ? wewe ni msemaji wa tanesco?!,Biashara ya hzo mashine inazidi kushuka cause hata luku kunzia tarehe mbili next month haitaweza kununua tena.
That is fact. Fuatilia e-government utaona. Angalia kama faini za road unalipia selcom,angalia kama chet cha kuzaliwa unalipia selcom. Now luku wanahamia huko e-payment.wewe ni msemaji wa hao wafanyabiashara ? wewe ni msemaji wa tanesco?!,
Kwahiyo unataka biashara imdodee mwenzio kama ilivokudodea wewe? acha roho ya namna hiyo yani we unaona hasara uliyoipata wewe uihamishie kwa mwenzio, ndo wale wanaotaka akishindwa kitu na kila mtu ashindwe,wewe ni msemaji wa hao watanzania au wewe ni msemaji wa makampuni ya simu