Recent content by Morning Glory1

  1. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Fulana za kumbukumbu ya mauaji ya Tundu Lissu zagombewa kama njugu, zamalizika sokoni kwa muda mfupi

    Na leo septemba7 mungu amejibu
  2. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Kwamba mungu amepiga OFU TAGETI?

    Mwalimu wa set piece anahitajika sana kwa play maker wetu "israel" haiwezekani kila set piece anayowekewa na sirgod yeye anapaisha
  3. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Dorothy Semu: Jaji Warioba anaendelea vizuri

    Wahuni wakiendeleza mikakati ya uhuni wao
  4. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

    Mungu unatukosea sana mtafutie israeli kocha wa set piece sio kila set piece unayompa anapaisha
  5. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania CCM, Hii siyo sawa. Pamoja na yote , msingelimfutia uanachama nchimbi. Mungu anawaona

    Samia ni kilaza na ndoman alitaka kugombea uraisi n salumu mwalimuu....samia anataka kuzungukwa na akili ndogo tupu
  6. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania CCM Fahamuni kabisa: Kilichofanywa na Asha Rose Migiro ni uhaini na atakilipia

    Shida imeanzia kwa kifimbo alijirundikia kila madaraka ya uraisi kwenye katiba mpaka akawa kama mungu na nchi ni maIi yake Sasa nafasi ya uraisi imeshikwa na mwehu kwa katiba ileile na mamlaka yaleyale
  7. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi amtembelea Dkt. Kikwete

    Huu mwaka hauishi bendera zitapepea nusu mlingoti unless alikwenda na chakula chake na maji yake...
  8. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Polisi Bariadi wafafanua video ya Askari na Bodaboda aliyekuwa na Magunia ya Alizeti

    Ni bora kukaa kimya kuliko kutoa taarifa rasmi ya kutetea upuuzi
  9. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Umeua ili ukatamalaki??

    Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya Nabothi...Mbwa watairamba na damu yale pia Zingatia neno MBWA!!00
  10. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Umeua ili ukatamalaki??

    1WAFAMLE 21:17-19 Neno la Bwana likamjia Eliya Mtishbi, kusema, Ondoka, ushuke, ukutane na Ahabu mfalme wa Israeli, akaaye katika Samaria; yuko katika shamba la mizabibu la Nabothi, ndiko alikoshukia ili alitamalaki. Ukamwambie, ukisema, Bwana asema hivi, JE! UMEUA, ILI UKATAMALAKIi? Nawe...
  11. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei upande wao?

    Basi Shalulile hata cheza ligi ya dani atacheza mechi za kimataifa tuu
  12. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa watu wameuziwa udongo kikombe Tsh 10,000 kwenye Mkesha Usiosahalika kwa Mwamposa

    Kama ni rahisi kutapeli mwambie hata babako akusanye udongo auze...au familia yenu haitaki hela?!...au kama unaona rahisi kuuza maji au mafuta jaza wewe maji au mafuta uuze uone kama kutapeli ni kazi rahisi
  13. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa watu wameuziwa udongo kikombe Tsh 10,000 kwenye Mkesha Usiosahalika kwa Mwamposa

    Watu wanapaki maV8 wanakwenda kuchukua udongo we hauogopi....wabongo tupunguze wivu kwa mafanikio ya wengine.Hema jipya alilolijenga mwamposa ni matilioni ya hela mwamposa hana njaa na hata sisi watoto wa arise and shine hatuna njaa...tukienda ibadani na misimbazi yetu tunajimaliza na kesho...
  14. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa watu wameuziwa udongo kikombe Tsh 10,000 kwenye Mkesha Usiosahalika kwa Mwamposa

    Ulishawai kusikia waliokua wanatoa sadaka zao kwa kiboko ya wachawi wamefilisika?!...ukitapeli kwa jina la mungu wewe tapeli utachuma laana na waliokua wanatoa sadaka zao kwa imani wataendelea kubalikiwa....Kila mtu atavuna alichopanda ndoman kiboko ya wachawi anabwabwaja tu mitandaoni kama...
  15. Morning Glory1

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa watu wameuziwa udongo kikombe Tsh 10,000 kwenye Mkesha Usiosahalika kwa Mwamposa

    Mkuu embu tuambie wewe unaabudu wapi ili tulinganishe hekima yako na upumbavu wetu??.....Mwamposa ndie Bulldozer toka ameanza kupigwa vita ndo mungu anazidi kumbariki.Mkesha husiosahaulika tanganyika packers ilitapika Mungu hadhiakiwi Huwezi kumshusha mtu ambae haukumpandisha wewe
Back
Top Bottom