Sio kama mume akifa basi mirathi inaenda direct kwa mke, hata wazazi wa marehemu nao wanaweza simamia mirathi.wewe ndio unadanganywa kizembe na phd yako ya mchongo na kama kiwanja ni chake kwanini atake hati abadili jina?
We jamaa bhana me nlikwambia hizo bei za offer zilkua kama ni permanent maana hakuna kipindi fast jet walikua hawana ofa unalinganisha na ofa za Air Tz za mara moja kwa mwaka.yaani inshort fast jet ingekua hadi sahiv 80% ya watz wangekua wamepanda ndege
Nimekuonesha hapo screenshot ya page ya fast jet nauli ya ofa 39,000 mbeya dar ukiongeza na kodi ya serikali inakua 69 au 70 na 2015 na 2016 na 2017 na 18 bei ilkua hivyohivyo, hizo bei za laki za ofa wewe umezitoa wapi?
Mimi nilikuuliza swali fast jet waliwezaje kuweka ofa zao wakati wote zaidi ya miaka mi3 ukagoma kuwa haijafika hiyo miaka unalinganisha na ATCL iinayotoa ofa mara moja kwa mwaka.af sio screenshot tu naweza kusema mimi ni miongoni mwa watu waliofaidi fast jet hapa TZ
Ushahidi wako wa uongo fast jet ofa zake zilianza 2012 mpaka inapofungiwa 2018
Hiyo ni 2014 na ofa zileendelea mpaka mwisho unasemaje haikuzidi miaka mi3 kama sio muongo unatuletea habari za bulawayo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.