Social welfare officer, community development officer, youth development officer, human resources officer Bila kusahau Kazi zote zinazohusu jamii maswala ya watt yatima, mashirika ya ukimwi na mambo mengine!
Aisee so sad! Kama haujawahi kufiwa Unaweza ona simple tu, omba yasikukute! Nilifiwa na mama yangu Aisee mpk leo ni Miaka 10 lakini haiwezi pita wiki sijalia kumkumbuka! Inauma Sana mungu ampe huyo mama Ujasiri tofauti na hapo Unaweza Ongea peke yako
Diamond anacheza na akili za baadhi ya watanzania ambao wanataka ngoma za kuchezeka hata kama hazina maneno ya maana! Cha msingi ichezeke! Kwangu mie nimeipenda sababu napenda kuenjoy mda mwingine
Nasisitiza hamna haja ya kuzungushana, mie na mume wangu nakumbuka alinitongoza tarehe 20/2 baada ya siku tatu nikampa mzigo tena tulikesha baada ya mwezi akaja kujitambulisha kwetu mambo ya mahari yakafuata na ndoa mpk sasa nipo nae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.