Mbona katika Kikosi hiki cha dunia hawa akina Wema, Zari na Hamisa mnaosema ni Warembo sana hawapo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,977
2,000
10 MOST BEAUTIFUL WOMEN IN THE WORLD

1.Bella Hadid 94.35%
2.Beyonce 92.44%
3.Amber Heard 91.85%
4.Ariana Grande 91.81%
5.Taylor Swift 91.64%
6.Kate Moss 91.05%
7.Scarllet Johhansson 90.91%
8.Natalie Portman 90.51%
9.Katy Perry 90.08%
10.Cara Delevingne 89.99%

Kuanzia leo muache Kuwapa hao Wanawake wenu sijui akina Wema, Zari na Hamisa Sifa za ‘ Kipopoma ‘ kuwa ndiyo Warembo pengine kuliko Wanawake wengineo Ulimwenguni. Kwanza kuna wengine hata tu Wadada wa Kazi (House Maids) tulionao humu Majumbani mwetu wanawazidi wao kwa Urembo sema tu hawajapata ‘Platforms ‘ za Wao Kuonekana.

Chanzo Taarifa: Golden Ratio Of Beauty Phi
 
shiu yang

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
3,012
2,000
Hakuna kitu hapo kuna, mabinti\wasichana\wanawake ni warembo mno ila hawana umaarufu hata beyonce, ariana hawawafikii.
Anyway huko kwenu hujawahi ona wanaowapita kina zari, hamisa, wema..!?
 
Mazigazi

JF-Expert Member
Jul 6, 2012
8,075
2,000
10 MOST BEAUTIFUL WOMEN IN THE WORLD

1.Bella Hadid 94.35%
2.Beyonce 92.44%
3.Amber Heard 91.85%
4.Ariana Grande 91.81%
5.Taylor Swift 91.64%
6.Kate Moss 91.05%
7.Scarllet Johhansson 90.91%
8.Natalie Portman 90.51%
9.Katy Perry 90.08%
10.Cara Delevingne 89.99%

Kuanzia leo muache Kuwapa hao Wanawake wenu sijui akina Wema, Zari na Hamisa Sifa za ‘ Kipopoma ‘ kuwa ndiyo Warembo pengine kuliko Wanawake wengineo Ulimwenguni. Kwanza kuna wengine hata tu Wadada wa Kazi (House Maids) tulionao humu Majumbani mwetu wanawazidi wao kwa Urembo sema tu hawajapata ‘Platforms ‘ za Wao Kuonekana.

Chanzo Taarifa: Golden Ratio Of Beauty Phi
Hao hawaba uzuri wowote labda kwa walio maarufu

Kitaa kuna watoto wazuri balaa
 
Ulweso

JF-Expert Member
May 24, 2016
14,810
2,000
Kuna uzuri wa asili na uzuri wa dukani, na walio wengi uzuri wao ni wa dukani hivyo ni pesa yako tu, hao wote kutana nao asubuhi kabla hajapaka makorombwezo kama hautamsahau
 
kisukari

JF-Expert Member
Jul 16, 2010
4,542
2,000
Wakisema in the world wanakosea. Wamechagua wa huko majuu tu. Hawajaangalia wa bara la Africa au even Asia. Huyo Bella hadid mbona namuona wa kawaida tu.
 
mludego

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,292
2,000
Mada kama hizi kina Dada huwa wanakwepa umande tuu hawakanyagi hii njia
Maana akisoma tuu anaenda kwenye kioo kisha anajibenuabenua
 
moonlight tz

Member
Jun 11, 2019
51
125
Uzuri Upo machoni mwa mtu! Nadhan hilo shindano lilikuwa kwa America Sana maana kuna wasichana warembo kule ufilipina, India na sehemu zingine
 
Chief Editor

JF-Expert Member
Feb 18, 2019
503
1,000
10 MOST BEAUTIFUL WOMEN IN THE WORLD

1.Bella Hadid 94.35%
2.Beyonce 92.44%
3.Amber Heard 91.85%
4.Ariana Grande 91.81%
5.Taylor Swift 91.64%
6.Kate Moss 91.05%
7.Scarllet Johhansson 90.91%
8.Natalie Portman 90.51%
9.Katy Perry 90.08%
10.Cara Delevingne 89.99%

Kuanzia leo muache Kuwapa hao Wanawake wenu sijui akina Wema, Zari na Hamisa Sifa za ‘ Kipopoma ‘ kuwa ndiyo Warembo pengine kuliko Wanawake wengineo Ulimwenguni. Kwanza kuna wengine hata tu Wadada wa Kazi (House Maids) tulionao humu Majumbani mwetu wanawazidi wao kwa Urembo sema tu hawajapata ‘Platforms ‘ za Wao Kuonekana.

Chanzo Taarifa: Golden Ratio Of Beauty Phi
Ripoti ya kibeberu hatujaikubali sisi kama waafrica
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom