This is too much. Kila kitu Magufuli kafanya

Naangalia Taarifa ya habari ITV eti Rais Magufuli amenunua magari 42 ya Takukuru ngazi wilaya.Hv amenunua yeye au serikali ndo imenunua? Praise timu hii ni zaidi ya ushamba. Hata yeye atakua anakereka na hz sifa.
Yeye ndio anapenda kusifiwa kijinga hivyo!!
 
ila uchumi ukiharibika mnamtaja yeye bila kupepesa macho.

mwakinyo anasema tatizo la watz ni ujuaji.
mimi nasema na unafiki pia.
 
Naangalia Taarifa ya habari ITV eti Rais Magufuli amenunua magari 42 ya Takukuru ngazi wilaya.Hv amenunua yeye au serikali ndo imenunua? Praise timu hii ni zaidi ya ushamba. Hata yeye atakua anakereka na hz sifa.
Praise team unawalaumu bure tu. Huyo mhusika anapenda sifa kama mtoto wa mwisho
 
Naangalia Taarifa ya habari ITV eti Rais Magufuli amenunua magari 42 ya Takukuru ngazi wilaya.Hv amenunua yeye au serikali ndo imenunua? Praise timu hii ni zaidi ya ushamba. Hata yeye atakua anakereka na hz sifa.
Itachukua muda mrefu watu kutambua kwamba wanatawaliwa kidikteta.
 
Naangalia Taarifa ya habari ITV eti Rais Magufuli amenunua magari 42 ya Takukuru ngazi wilaya.Hv amenunua yeye au serikali ndo imenunua? Praise timu hii ni zaidi ya ushamba. Hata yeye atakua anakereka na hz sifa.
One man show
 
ila uchumi ukiharibika mnamtaja yeye bila kupepesa macho.

mwakinyo anasema tatizo la watz ni ujuaji.
mimi nasema na unafiki pia.
Kakojoe ukalale ila kumbuka nguvu anazotumia shemeji yako kukulisha ndio kiburi chako!!

Jipange kabla hujaitambua tabia ya ccm
 
Kodi zako ndio zimenunua hayo magari, ila kongole imeenda kwa jiwe
 
Back
Top Bottom