Recent content by mooalex

  1. mooalex

    JamiiForums Tanzania Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    sasa bosi iyo kampuni jina lake inauitwaje mbona taarifa fupi fupi watajie ao mamlaka husika watusaidie maana hili nalo ni jipu tena ni balaa
  2. mooalex

    JamiiForums Tanzania Ni timu gani ya soka inakuonesha mpira mzuri kuliko Simba hapa Tanzania?

    Kiukweli binafsi mimi ni mpenzi wa Simba, ila kusema ukweli ni kuwa mpira wa Tanzania bado sana. But hamna anaepinga kwa sasa Simba ni club bora hapa Tanzania kwani mpira wao uwanjani wanaonana vzuri sana, pasi kama zote. Ukikutana na mkude pale kati na kuna mtu mbaya anayeitwa Chama ukifika...
  3. mooalex

    JamiiForums Tanzania Ni ndege ipi uipendayo zaidi?

  4. mooalex

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ikulu: Mazungumzo kati ya Viongozi wa dini nchini na Rais Magufuli

    Ni vizuri Kiongozi wa nchi anapokuwa anakutana na wananchi wake kama hivi ili kujua changamoto na kuweza kupokea mawanzo...........hongera Dkt Magufuli tunajua nia yako ni njema tu.
  5. mooalex

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa kupinga kila kitu ni upinzani wa kishamba

    Hivi hapa nchini Tanzania ili uwe chama cha Upinzani ni lazima upinge jitihada za Serikali? Maana sielewi mbona wapinzani wa nchi hii kila kitu wao wanapinga tu ata kama ni cha manufaa kwa wananchi? Nahisi tunahitaji elimu kuhusu hili vyenginevyo Upinzani utakua ndio chanzo cha kudumaza...
  6. mooalex

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Mhe Rais John Pombe Magufuli

    Naamini kabisa kura hizi mlizonipa zimekuwa ni jukumu langu la kuzitendea haki, nina deni kubwa kwenu jukumu langu ni kuwanyia kazi na kutimiza wajibu wangu kama nilivyoagizwa kupitia ilani yetu ya Chama Cha Mapinduzi
  7. mooalex

    JamiiForums Tanzania Simba azuiliwa airport

    Msanii wa Music Diamond Platinumz almaarufu Diamond azuiliwa airport kwa sababu ya kuchelewa kufika airport. We una mawazo gani kwa hili?
  8. mooalex

    JamiiForums Tanzania Kishindo: Viongozi wa Upinzani nchini Tanzania Kuongea na Wanahabari wa ndani na nje

    wataongea nini mbona kama vile ni yaleyale tu..nothing new
  9. mooalex

    JamiiForums Tanzania Tabora: Mahakama Kuu yamwachia huru aliyemuua mtu aliyekuwa akimbaka mkewe

    Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Tabora, John Utamwa amemwachia bila masharti mkazi wa kijiji cha Mahene Wilaya ya Nzega aliyekiri kumuua bila kukusudia mtu anayedaiwa kumbaka mkewe. Kabla ya uamuzi huo upande wa Jamhuri ukiongozwa na wakili Tito Mwakalinga umedai Oktoba 12, 2016 mshitakiwa...
  10. mooalex

    JamiiForums Tanzania Yusuf Manji kuhamishia biashara zake zote nchini Zambia

    Mh kaandamwa kivipi na Serikali...mbona haieleweki na kwa nini aandamwe yeye wakati Serikali ya awamu ya tano kila siku inashajihisha kufanya biashara?
Back
Top Bottom