we ndio unaiona hii leo? watu tangu jana kuna nyuzi kibao zimezungumzia hili jambao, mamlaka wakatoa ufafanuzi, yeye akatoa utetezi wake, wewe hukuona au umeamua tuu ujaze server za akina melo bure?Msanii wa Music Diamond Platinumz almaarufu Diamond azuiliwa airport kwa sababu ya kuchelewa kufika airport.
We una mawazo gani kwa hili?