Kitu Dreamliner. Sijui hii yetu ila nimepanda za Ethiopia na KLM ile adjustment ya viti na kuegesha miguu vizuri inakufanya unajisikia comfortable. pia imetengenezwa kuondoa flight fatigue. Mwisho wa safari husikii uchovu wowote
Kwa sisi wapenda nyama choma ya mbuzi Dreamliner ndio chaguo maana mwisho wa safari chakula cha kwetu tele.Kitu Dreamliner. Sijui hii yetu ila nimepanda za Ethiopia na KLM ile adjustment ya viti na kuegesha miguu vizuri inakufanya unajisikia comfortable. pia imetengenezwa kuondoa flight fatigue. Mwisho wa safari husikii uchovu wowote