Recent content by monoclinic

  1. monoclinic

    Kodtec Speaker systems

    Hahaaa nashkuru nimekupata.ngoja niendelee kusaka.
  2. monoclinic

    Kodtec Speaker systems

    Vipi jamani wataalam nimekuta hiinkitu sehemu.. Ina mzimi wa kuridhisha au niachane nalo??
  3. monoclinic

    Ni kozi Gani itamfaa huyu mdogo wangu?

    Boss asome nini apo chuo cha maji.hujaweka kozi ya kusoma apo,kuna water resources, kuna sijui hydrogeology, hydrology,n.k. Ipi apo boss
  4. monoclinic

    Ni kozi Gani itamfaa huyu mdogo wangu?

    Kiswahili-B Math-D Eng-D Chem-C Hist-D Bio-C Civ-B Geo-D Phy-F Div 3 point 23. Jinsia KE Boss msaada apo wa kozi nzuri kwa ufauku huo.hasa idara ya afya
  5. monoclinic

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Kuna kila dalili ka mkeka kangu ka November kamefutwa..yani wanaita mbele Mar warudi nyuma lkn kataasisi kangu hakaitwi hata. mazaga one mzee baba ebu tupe update ya zilizobaki 28 November to December. Kweli wa masikini hazai.alafu hii asali ninile ya wadudu wadogo naskia ni tamu.
  6. monoclinic

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Sure man. Ngoja tuombe mungu. Kikubwa ni kulow down risk na kuweka high factor of safety usije jinyonga bure
  7. monoclinic

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndo mana nahisi zimefutwa aisee. Hii November hii.lkn huwezi hua mungu anatuepusha na nini.
  8. monoclinic

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yani mimi nikiingia tu oral.zaga halitoki mapema.wadau wakiingia mwezi mmoja tu kitu mweku mweku. Hata ile presha ishapungua saa izi naona kawaida tu. So usishangae kuskia goma limefutwa.kawaoda sana hiyo
  9. monoclinic

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    November zimefutwa.. Za chini chini. Kama course yako mama hajawahi ata kuitaja kwenye mikutano basi vita subira kwanza ..
  10. monoclinic

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mwingine atauliza "una uhakika ni mwanao kweli au umebambikiwa" Tukubali kutokukubaliana. Ila not selected zipo nyingi tu after oral. So tuaminiane tu na tupingane pia
  11. monoclinic

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wale wajomba hawanaga cv yako pale aisee.tulishawahi kuwa na debate na wadau flani kuhusu hii issue. Ila nikaja ku prove mwenyewe hawanaga cv za msahiliwa pale
  12. monoclinic

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mimi nina received tu mzee.usipaniki .. Ndo maisha.
  13. monoclinic

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    "Selected for practical asanteni kwa kushiriki msisite tena kuomba nafasi zikitoka" Alisikika mlamba asali mmoja akisema
  14. monoclinic

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    [emoji1787][emoji1787]usije ukakimbia tu baadae.mana wewe msingi mbio.
Back
Top Bottom