lamalu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 611
- 766
Kwanza niwape pole wagonjwa waliopo humu,niwape pole mnaoguza na kuwapongeza wazima na pia polen kwa majukumu ya kila siku! Yote kwa Yote shukuran za pekee ni kwa Mungu(japo humu JF kuna wasioamini Mungu)
IPO hivi wakat namaliza shule miaka ya 2000 hivi nilikuwa na ndoto nyingi sana nikakomalia kusoma kitu ambacho hakikunisaidia sikuwa na mtu wa kunishauri nn nisomee,matokeo yake hadi nafikisha miaka 30+ sikuwa na mwelekeo wa maisha, nashukuru nilisimama na kujituma hatimae kiasi nimefanikiwa,sasa sipendi/sitaki huyu mdogo wangu apitie njia ngumu sana kama nilizopitia mimi,
Amemaliza form four mwaka jana na kupata division three, wakuu naomba msaada wenu ni kozi gani itamfaa, ni mtoto wa kiume,ananiuliza mara nyingi ni kozi ipi asomee nakosa jibu,yeye anataka sheria japo naona kama itamchelewesha sana.
Uwezo wa kumsomesha nashukuru Mungu ninao hivyo nawaomba sana mwenye wazo wa kozi gani anisaidie ili tumsaidie huyu dogo
Ahsanteni