Recent content by monie2009

  1. M

    Maji Marefu aomba radhi kuhusu kauli ya Dk. Ulimboka

    alikuwa maji mafupi labda
  2. M

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    Kumbe ndo uoga wenu kuwa serikalini kuna wakristo wengi kuliko waislamu? Siyo serikali tu ni kwenye sector zote wakristo ndo wengi kuliko waislamu na sababu inajulikana kama wewe huijui basi na wewe inaonekana ni kati ya wale ambao wamesoma elimu ahera mkaisahau elimu dunia ambayo ndo kigezo cha...
  3. M

    BAKWATA yatangaza rasmi waislam kugomea sensa!

    kwi kwi kwi, yaani uliyecomment hapo juu umenichesha hadi basi. But you made my day. lol. Yaani km ni kuchemsha hawa bakwata hapo ni mvurugo. Kwani mkishajijua mko wengi then what next...... kama mnataka kujua mko wangapi nendeni kwenye magereza mkahesabu wafungwa ndo mtajua kama mko wengi au...
  4. M

    GE2010 Upinzani waziteka ngome za CCM mijini

    Sure mkuu, umenena haswaaa huo ndo ukweli wenyewe, halafu hawa watu wana chuki ambayo haifutiki hata kama wangesoma vipi, sijui inakuwaje bwana.
  5. M

    Dr Slaa Apinga Matokeo Yanayoendelea Kutangazwa na Tume

    Nakubaliana na wewe 100% mzee yaani uliyonena ndo ukweli wenyewe!!!
  6. M

    GE2010 Mpendazoe alipata kura 56,962 Segerea, asema SLAA

    Kwa kweli kwa mtindo huu mimi naona ni bora kukatana mapanga kuliko kunyanyaswa hivi na ccm. Yaliyofanywa kwenye huu uchaguzi hayavumiliki ni bora kujitoa tu muhanga ili vizazi vijavyo visalimike kwani inasikitisha sana. Jamani watanzania tusikubali mwaka huu lazima haki ipatikane. period
  7. M

    GE2010 Majiji ya Tanzania yaangukia mikononi mwa CHADEMA

    Chuki tu ndo imetawala na udini, anywayz hawa wajinga wachache hawawezi kutukwamisha milele tutajipanga tu kwa 2015 tutaikomboa hii nchi pamoja na ujinga wao. shame on them
  8. M

    GE2010 Majiji ya Tanzania yaangukia mikononi mwa CHADEMA

    Umenifurahisha sana, its very true kwamba elimu duni ndo itafanya hayo majimbo yachukuliwe na ccm milele, ushahidi angalia watu wanaoishi jimbo la kawe na ubungo utapata jibu. Hivi kwa nini lakini hii mijiafrika inakuwa hivi? Unajua mzungu hata kama hajasoma ana upeo wa mbali si kama hizi ngozi...
  9. M

    GE2010 Kwanini Dr. Slaa anawakosesha raha?

    You are very true mkuu PS ndo wanatakiwa waendeshe wizara kwa kipindi hiki, Ila hata mimi nimeshangazwa kusikia magembe eti kasema sera ya elimu bure ni ya ccm, what the heck!!!! wakati kila wanakopita wanasema sera hii ya chadema haitekelezeki, ni aibu na ni kutufanya wananchi hatuna akili...
  10. M

    Kampeni ya Ubunge Arusha Mjini - Batilda Burian Vs Lema

    Huyu mama ni mtoa rushwa mzuri kweli mimi akinipitia nachukua na kura pia simpi, vijana wa arusha kuleni hela zake lakini hukumu yake 31. Oct. Yaani nasikia ana mbinu nyingi sana za kutoa rushwa hata akienda car wash anagawa elfu kumi kumi kwa kila anayemkuta pale halafu akiondoka anawaambia...
  11. M

    Miss Tanzania wa 2010 mhh..

    Yaani sina hata cha kusema ndg zanguni, mimi nina miaka 37 lakini nikiwekwa naye mbona namwacha mbali sanaaaaa!!! lol, kwanza huo mtindi mbona kama ndala ana watoto wangapi wajameni? Inaonekana alidanganya miaka au ndo wale wenye bahati mbaya miaka midogo muonekano mkubwa!!! Bora sikulipa...
  12. M

    Viongozi wa CCM, tawi UK

    Mi nakumbuka mwaka jana niliona kwenye blog ya michuzi kigogo fulani wa ccm akifungua tawi la ccm huko UK. hata mimi ilinishtua kidogo lakini kwa vile namjua kuwa yeye ndio mweka hazina wa ccm nikajua ni hela zinamuwasha kwa hiyo sikushangaa sana. Kwa hiyo nahisi ni yeye aliyemwita huyo dada...
  13. M

    Mjengwa katika kampeni za Kikwete 2010?

    Huyu mjengwa wa kuurumia, tena nimegundua ni kibaraka wa CCM hana lolote, yaani watu kama hawa natamani niwameze maana naona kama hawaoni watu tunavyoteseka kwenye nchi yetu yenye raslimali kibao, timua huko
  14. M

    CCM wanampenda Slaa, angalia picha hii

    Mi naitaka nikamfutie mzee wangu......... JASHO!!!!
Back
Top Bottom