Viongozi wa CCM, tawi UK

Viongozi wa CCM, tawi UK

You can catch a flight to Dar 2 days before election, vote on 10/31 and fly back to UK after casting your precious vote in the ballot. That's what a lot of us (CCM supporters) do
uNAMCHAGULIA NANI SASA SI BORA UKAE TUU HUKO, HUKU KWETU WANAFUNZI WACHUO HAWATAPIGA KURA! WEWE VIPI HAPA HAKUNA USSAWA KABISAAA! WEWE FISADI EEEH!
 
Hii si jambo forum, besides forum hii si ya wana ccm. Na ninyi hamna kazi kweli, uko nchi za watu badala ya kutafuta upunguze umaskini wa babako aliyeko mwanarumango bado hata huko nje mliko mnang'ang'ana na ccm!!!!!!! phewwwee!!!!

Kuishi kwenu abroad bado akili haifunguki!
Boksi na schedule zimewashinda na mmechoka sasa na njia ya mkato ni kujikomba CCM ili mpewe kacheo fulani! Dumbs!!
Njaa hizi?
 
watu wa huko si wazalendo na hamtusaidii kitu ingawa tanzania imewasomesha, haikuwa na malengo ya kifisadi mnayofanya eti mnachanga hela kuja ccm chimwaga kuwakilishwa, ujinga kabisa
 
Mi nakumbuka mwaka jana niliona kwenye blog ya michuzi kigogo fulani wa ccm akifungua tawi la ccm huko UK. hata mimi ilinishtua kidogo lakini kwa vile namjua kuwa yeye ndio mweka hazina wa ccm nikajua ni hela zinamuwasha kwa hiyo sikushangaa sana. Kwa hiyo nahisi ni yeye aliyemwita huyo dada maana na yeye ni mtu wa totoz sana!!! mi thithemi malizieni wenyewe!!1
 
Hapa kinachoonekana uongozi unapatikana kwa kujuana na fitina.Wewe unategemea nini, kama kiongozi amepatikana kimagumashi? basi hata wateule wake ni walewale!hakuna jipya hapo!
 
Mapinduzi ! Daimaa !!! Mpaka kieleweke, tulishindwa hapo awali lakini sasa kitaeleweka tu hata kwa maguvu atake asitake ni lazima tumuondoe huyu "kauzibe" tujipange vizuri wakuu
 
Back
Top Bottom