Recent content by monge

  1. monge

    JamiiForums Tanzania Risk Assessment and Management: CHADEMA nayo Imuondoe Dr. W. Slaa!

    Kijana kuna wakati huwanaona una mawazo endelevu sana katika threadna michango yako humu jamvini,lakini hoja yako ya leo ni busara ukakubali kuwa umechemsha tena sana! hoja yako ya udini ni hatari kuliko neno hatari lenyewe. Nyrere aliwaambia ubaguzi hauna mipaka, leo mnatumia DINI ili muendelee...
  2. monge

    JamiiForums Tanzania Ni kweli tumesahau aliyotufanyia Gaddafi 1972- 1979 mpaka tuandamane kumtetea?

    Kama kiongozi mkuu wa nchi anatumia udini kuendelea kubakia madarakani!,kwa nini raia wa kawaida asiutumie udini kumuunga mkono Gadaffi!
  3. monge

    JamiiForums Tanzania Kweli sikio la kufa.....

    Ya rwanda na ya Tanzania hata hayafanani!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  4. monge

    JamiiForums Tanzania Kweli sikio la kufa.....

    Huyu mama ana AMNESIA AU KACHANGANYIKIWA. Anajuwa kabisa yeye ni miongoni mwa chanzo cha hii karaha na mauaji yote yalotokea ,lakini bado ana jeuri ya kufungua kinywa chake na kutoa kauli za kebehi kiasi hiki kwa watu waliotumia uhuru wao wa kikatiba wa kuongea na kutoa maoni yao! Ama kweli...
  5. monge

    JamiiForums Tanzania picha ya Mbowe alipowekwa chini ya ulinzi

    ni kweli!
  6. monge

    JamiiForums Tanzania Intelijensia Kuhusu Maandamano ya CHADEMA

    Waziri wa mambo ya ndani( shamsi vuai nahodha) Kwa kuwa jeshi la polisi liko chini yake na alimruhusu mwema kufanya alichofanya.
  7. monge

    JamiiForums Tanzania Tunataka katiba mpya, hiyo iliyopo wangapi wameisoma?

    Ebu acha mambo ya kijinga. unadhani shahada ndiyo nini? Mbona kikwete ana shahada lakini ni mbubmu kuliko hata wasio na shahada!!! Msitishe watu na shahada,akili zenu za kijinga hizo ndiyo maana mnalipishwa pasipo na sababu?
  8. monge

    JamiiForums Tanzania The DOWANS saga: Kwanini KIKWETE yuko kimya?

    Bwan wee ukweli ndiyo huo,watu wote wanafahamu na hata wapinzani walishasema hadi wakachoka.Sisi wabongo ndiyo wajinga ,ukifika uchaguzi tunairudisha tena ccm. haya mambo yatashughuliwa vizuri ccm ikiwa nje ya madaraka na siyo vinginevyo.tukiendelea kuwaweka ccm madarakani basi tunatakiwa...
  9. monge

    JamiiForums Tanzania Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Originally Posted by Waberoya Nimekutana na mtu mmoja mzito leo anasema JF wengi ni vuvuzela na angependa amuone kila mmoja kwa sura yake, huwa haamini kuwa ni intelectuals basi kama ni intelectuals basi kuna tatizo sehemu, huwa anaamini ni shule ya msi Originally Posted by Waberoya Nimekutana...
  10. monge

    JamiiForums Tanzania Tanzania among top performing economies

    Tanzania.
  11. monge

    JamiiForums Tanzania Sitta na Lowasa waitesa CCM

    Inavyoonekana tayari kampeni za 2015 ndiyo zimeashaanza rasimi. Nashindwa kuelewa hasa ni lini Tanzania tutapata maendeleo tunayohitaji! manake Tanzania ni nchi moja ambayo watu wanakampeni nonstop!
  12. monge

    JamiiForums Tanzania Umeme wapanda kwa 18.5%

    Ndiyo maisha hayo!!
  13. monge

    JamiiForums Tanzania Hukumu ya rada hii hapa!!

    20 December 2010 Last updated at 16:01 ET Share this page Facebook Twitter Share Email Print BAE Systems faces fine for Tanzania accounting offence By Martin Shankleman Employment correspondent, BBC News BAE admits it failed to keep proper accounts Continue reading the main story Related...
  14. monge

    JamiiForums Tanzania Atm theft `"`kuwa makini"

    ATM Fraud Gets Even More Brazen provided by Fraud involving debit cards and personal-identification numbers is on the rise as criminals go where the cash is—even targeting banks' own automated teller machines. Techniques such as "skimming," in which criminals capture card information and...
  15. monge

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Freeman Mbowe latumika kumsafisha LOWASSA

    Tutafika lakini kwa taabu kweli kweli!
Back
Top Bottom