Ni kweli tumesahau aliyotufanyia Gaddafi 1972- 1979 mpaka tuandamane kumtetea?

Lakini hawa ndugu zetu waislamu wa Tanzania ni wanafiki kwa vigevyo vifuatavyo...kwanza kule Somalia nchi nzima ni ya kiislamu, kwahiyo ni waislamu wenyewe kwa wenyewe wanauwana kinacho nisikitisha na kunishangaza hatujawahiu kuwasikia waislamu wa tanzania wakiitisha maandamano ya kulaani kitendo cha waslamu kuuwana wenyewe kwa wenyewe kule somalia. Pili, kule Darfu ambapo Jajaweed ambao ni waislamu walipo kuwa wanawauwa waafrika wenzetu weusi hatukusikia Mwislamu ikilaani vitu hivyo. sisi kinachopolekea wao kuandamana ni kufikiria kuwa Gaddafi akitoka watakosa misaada wanayopata kama vile kujengewa miskiti au???
 
Waislamu tuna infiriority complex. Ifike sehemu tulishinde tatizo letu hili
 
Mimi ni mkristo,
Uliloandika lina maana kwangu na nina amini na kwa wengi pia.
Mwandishi hajatumia njia nzuri ya kufikisha ujumbe wake,hakukuwa na siku zote hakuna haja ya kutumia lugha ya kashfa dhidi ya watu wenye imani tofauti na uliyonayo wewe.

Ujumbe alioukusudia kuufikisha (kuwatahadharisha waliondamana kumuunga mkono Gaddafi kuwa walipaswa wakae chini na kujiuliza mengi kabla ya kufanya hivyo) ulikuwa mzuri lakini ametumia njia ambayo siyo nzuri.

Binafsi siungi mkono uvamizi wa kijeshi uliofanywa na mataifa ya Magharibi dhidi ya Gadaffi,lakini pia simuungi mkono Gadaffi kwa style yake ya kuongoza Libya hata kama imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwenye farewell ya raia zake..kuna hao ambao wanapotezwa kimya kimya lakini kuna style ile ya kutaka kumuweka mtoto wake madarakani..

Alipaswa kuondoka kwa kweli lakini njia inayotumika si sahihi kwani kuna watu wasio na hatia wanaoangamia pia,na ukweli ni kwamba tunafahamu Mataifa yale yanafanya vile kwa interest zao na si kwa mapenzi kwa Wa-Libya...Tujikumbushe tu yaliyotokea Rwanda na walishindwa kuingilia kati na kuokoa maisha ya wengi,walichofanya ni kubeba tu raia wao...UN ilikuwepo nayo ikashindwa kufanya lolote kwa kuwa siku zote ipo kusubiri kusikia Marekani inasema na inataka nini…Inasikitisha sana,na hapo ndipo inapokuwa mantiki yangu hakuna aliyeandamana mauaji yale ya Kimbari yalivyotokea na yalitugusa kwa njia moja au nyingine;Taifa lilibeba mzigo wa wakimbizi lakini pia ndugu zetu Watanzania wenzetu wa Mikoa ya Mipakana kama Kigoma walipatwa na athari za moja kwa moja kama vile wizi na ujambazi ambavyo viliongezwa na uwepo wa wakimbizi wale kwa wingi.Lakini hakuna mtu aliyesimama na kuandamana.
MIMI NI Muislamu,
Nakuomba sana ndugu yangu tushirikiane kupambana na kuwaelemisha watanzania juu ya athari za udini!!ukiangalia asili yetu kuu watanzania ni baba na mama mmoja kwa hiyo tunataka kuuwa undugu wetu wa asili na kuleta umashariki ya kati na umagharibi.Nimevutiwa sana na jinsi ulivyokubaliana na mimi katika kupinga udini,na nikiwa kama mu islamu nakiri kabisa waislamu wengi tunaupungufu wa elimu ukilinganisha na wakristo,lakini sioni tatizo ni nini hapo cha msingi ni kujitahidi kuwaelemisha wale ambao hawajabahatika kupata elimu kwa stahiki zozote na wao wawe sawa na wengine,unajua hata mageuzi ya nchi hayawezekani kama kutakuwa na tabaka kubwa la watu wenye upeo mdogo,Kenya waliweza sababu ni digrii ndogo tu ya watu ambao walikuwa na upeo mdogo kielimu.
Narudia tena ndugu zangu inaniuma sana kubaguana kiudini,tutakuja kuuwana wenyewe kwa wenyewe hali ya kuwa baba na mama zetu ni wamoja!Ndugu yangu nitaku PM
 
la muhm kwao ni miskiti aliyowajengea tu

Wivu na roho mbaya vitakupandisha pressure kijana, wahi kwa babu yenu ukapate kikombe.

hivi Nyerere vile si alimwambia Gaddafi mwenyewe ampe fedha ajenge msikiti wa kule kwao, sasa kipi cha ajabu? Kama Nyerere mwenyewe aliyepeleka nchi hii kwenye vita vile baadae walipatana itakuwa wewe unayejiita yahudi? Kwa taarifa yako hao mayahudi hata hawakutambui unajipakazia tu.
 
Jamani sizugumzii udini bali ni ali alisi ilivyo lwa gaddafi naomba usome apo chini:
Backing Idi Amin: Idi Amin came to power in 1971 with the support of Britain and Israel because they thought he was uneducated enough to be used by them. Amin, however, turned against his sponsors when they refused to sell him guns to fight Tanzania. Unfortunately, Qaddafi, without first getting enough information about Uganda, jumped in to support Idi Amin. He did this because Amin was a "Moslem" and Uganda was a "Moslem country," where Moslems were being "oppressed" by Christians. Amin killed a lot of people extra-judicially, and Qaddafi was identified with these mistakes.
Jamani tupo apo kunaumuimu wa kuwa na gaddafi bega kwa bega?
tujadili

Wacha kuqote vitu ambavyo havina msingi bali ni udini tu, hebu jaribu kusoma historia ya Uganda kwa ukamilifu wake siyo kuchukuwa ki paragraph kimoja na kukileta hapa kwa kuwa kimetaja Idi Amin na Moslems.

Historia inaonyesha kwamba Obote aliua watu wengi zaidi kuliko Amini lakini aliua kimya kimya na alikuwa na lengo la kuondoka kabila fulani. Ingekuwa katika enzi ya sasa ingeitwa genocide. Soma historia ya Loweero triangle.

Tatizo la Amin alikuwa mpenda masifa na kuua aliona ufahari fulani hivi. Na kwa vile alipowageuka na kuwalazimisha Wazungu wambebe ndiyo wakachukia sana na kumpakazia kila aina ya sifa mbaya - UNAFIKI GANI HUO?

Wacheni chuki za kijinga zisisokuwa na msingi.
 
JIULIZENI KWA MAKINI KWA NINI WATOA MAONI WOTE WANASHAMBULIA ? MWL NYERERE alikua na sababu yoyote ya vita na idi amini ? Au alifanya nini mpaka amini tukapambama nae ? Mungu awasamehe wote ni marehem lakini tujue propagada alotumia Nyerere kutuingiza kwenye hiyo vita ilikua ni nzito na wala haikufaa kwa wakati ule. Tatizo itikadi zetu zimnasababisha tufikirie tunavtojisikia tu, lakini tujue wazi masaada anayotoa gadaffi ni sawa tu na misaada ya vatican na wala tusitukane watu kwa kiasi hiki, Pia hii JF naona inachangiwa na watu wa misimamo inayofanana sana. Inanikumbusha mdogo wangu aliwahi kushika nafasi ya kwanza darasani kwao kati ya wanafunzi 43 lakini wastani wake ulikua 49% nililazimika kumhamisha shule maana kawa kiongozi wa wajinga na hii JF tujilinde tusije elekea huko. maana najua msomi yeyote anapenda zaidi kusoma vyanzo vya matukio na sio kukurupukia matokeo.
KEEP IN TOUCH "KWA WAISLAM MNAOSHABIKIA NDUGU YENU APIGWE KWA ALLAH MTAENDESHA NAE KESI NZITO NA IVUENI DINI YENU KWENYE JF LAKINI MKITIWA KABURINI NA MIDOMO IKIJAZWA MCHANGA NA KIAMA JF ULOTAFUTA SIFA KWAO MTAKIMBIANA, NA UJUE HAPO ULIPO HUNA TIKETI HATA YA KULALA LEO, TUBIA KWA KUMKANA NDUGUYO KWA AJILI YA SIFA YA JF" Nitukaneni nimemaliza.
 
Hii nimeikopi kutoka jukwaa la "Hoja na Habari Mchanganyiko".

Nimeona Pale si Mahala Pake.

Inakosa Wachangiaji.

Lakini hii thread ina hadhi ya Nyota 5.

WanaJF Tuchangie:

Imeandikwa na TITAN

In 1972 and 1979, Gaddafi sent Libyan troops to defend Idi Amin when we attacked him. I remember a Libyan Tupolev 22 bomber trying to bomb us in Mbarara in 1979. The bomb ended up in Nyarubanga because the pilots were scared. They could not come close to bomb properly. We had already shot-down many Amin MIGs using surface-to-air missiles.
The Tanzanian brothers and sisters were doing much of this fighting. Many Libyan militias were captured and repatriated to Libya by Tanzania. This was a big mistake by Gaddafi and a direct aggression against the people of Uganda and East Africa.

je!! nikweli watanzania tunanini cha kumtetea Gaddafi, kwa lipi kubwa alilo tufanyia mpaka tuandamane?

jamani sisi tusilipe kisasi.
 
Hivi tunaambiwa yale mabomu yote yanayoangushwa juu ya Libya yanampiga Gadafi au ni raia wasio na hatia?
 
Jamani sizugumzii udini bali ni ali alisi ilivyo lwa gaddafi naomba usome apo chini:
Backing Idi Amin: Idi Amin came to power in 1971 with the support of Britain and Israel because they thought he was uneducated enough to be used by them. Amin, however, turned against his sponsors when they refused to sell him guns to fight Tanzania. Unfortunately, Qaddafi, without first getting enough information about Uganda, jumped in to support Idi Amin. He did this because Amin was a "Moslem" and Uganda was a "Moslem country," where Moslems were being "oppressed" by Christians. Amin killed a lot of people extra-judicially, and Qaddafi was identified with these mistakes.
Jamani tupo apo kunaumuimu wa kuwa na gaddafi bega kwa bega?
tujadili

hata yayo majinga yanamsapoti Gadafi kisa ni muislamu ! Kwa hata uwe muuaje, mtu mbaya ila ukiwa muislamu sio kosa. Ndio hawa hawa walimchekea tip tip akatuuza kama mbuzi, Ushenzi mtupu, mimi bora nife ila siwez kujiunga na dini ya kikatili kama uislamu.
 
Lakini hawa ndugu zetu waislamu wa Tanzania ni wanafiki kwa vigevyo vifuatavyo...kwanza kule Somalia nchi nzima ni ya kiislamu, kwahiyo ni waislamu wenyewe kwa wenyewe wanauwana kinacho nisikitisha na kunishangaza hatujawahiu kuwasikia waislamu wa tanzania wakiitisha maandamano ya kulaani kitendo cha waslamu kuuwana wenyewe kwa wenyewe kule somalia. Pili, kule Darfu ambapo Jajaweed ambao ni waislamu walipo kuwa wanawauwa waafrika wenzetu weusi hatukusikia Mwislamu ikilaani vitu hivyo. sisi kinachopolekea wao kuandamana ni kufikiria kuwa Gaddafi akitoka watakosa misaada wanayopata kama vile kujengewa miskiti au???

mwarabu ktk uislamu ni Mungu mdogo. Sudan janjawil wameua weee, kimya! kama tip tip tu katuuza weee kimya. Na seyidd said akapewa nchi, katawala weee kimya. Mpaka wakaja kina tito okello wakafanya mambo. Hao waislamu kwao sawa tu, mwarabu hata akifanya k2 mbaya kicheko tu
 
Wakuu mbona wengine humu kabla ya kuchangia wanataja kwanza dini zao, hili jukwaa kunani? Mie mpita njia tu hapa, kwetu hukooooo jukwaa la utani.

Hii hapa chini niliwahi kuikuta huko BBC mnamo tarehe 24 March 2011. Naona walibya wenyewe wanafurahi, nyinyi mmekasirika nini mpaka muandamane?

Libya crisis: Benghazi's joy at coalition action

_51814420_011601251-1.jpg
 
Pili, kule Darfu ambapo Jajaweed ambao ni waislamu walipo kuwa wanawauwa waafrika wenzetu weusi hatukusikia Mwislamu ikilaani vitu hivyo. sisi kinachopolekea wao kuandamana ni kufikiria kuwa Gaddafi akitoka watakosa misaada wanayopata kama vile kujengewa miskiti au???
Angalizo:Janjaweed ambao ni WAARABU WAISLAMU walifawafanyia maovu mengi ikiwamo kuwaua,WEUSI WAISLAMU huko Darfur?!
 
Kama kiongozi mkuu wa nchi anatumia udini kuendelea kubakia madarakani!,kwa nini raia wa kawaida asiutumie udini kumuunga mkono Gadaffi!
 
Jamani sizugumzii udini bali ni ali alisi ilivyo lwa gaddafi naomba usome apo chini:
Backing Idi Amin: Idi Amin came to power in 1971 with the support of Britain and Israel because they thought he was uneducated enough to be used by them. Amin, however, turned against his sponsors when they refused to sell him guns to fight Tanzania. Unfortunately, Qaddafi, without first getting enough information about Uganda, jumped in to support Idi Amin. He did this because Amin was a "Moslem" and Uganda was a "Moslem country," where Moslems were being "oppressed" by Christians. Amin killed a lot of people extra-judicially, and Qaddafi was identified with these mistakes.
Jamani tupo apo kunaumuimu wa kuwa na gaddafi bega kwa bega?
tujadili

Sasa hivi tutaandamana kumuunga mkono kwa kuwa ni mwislamu mwenzetu hatujal
 
Wananchi wenzangu,

Tumekunja miguu yetu mkao wa mkeka, tunashambuliana kwa sababu tunautofautiana. Kwasababu tu, wewe ni mwislamu, wewe ni mkristo, wewe kabila fulani, wewe hujasoma, wewe umesoma, wewe daktari, wewe padre, wewe mufti, wewe sheikh, wewe askofu-kwa kweli sababu ni nyingi na inaweza kupotosha ukweli uliokuwa mbeleni mwetu- Sisi ni "Waafrika".

Waafrika tuko katika bwawa la mageuzi mazito, tunajenga miundombinu, tunafanya mabadiliko ya kisiasa na ya kiuchumi na wakati huo huo tunabadilisha mienendo ya tamaduni zetu. Sisi ni "Waafrika"

Matatizo barani mwetu hayataisha leo, nafikiri itakuwa sawa kama nikisema yatapungua na tutaweza kuyatatua kama tu tukiwa na mshikamano, wa maadili, wa utamaduni na wa siasa.

Matatizo yetu ni ya kwetu, tunaona hayo leo, Raisi wa Marekani alisema hawezi kukaa anaangalia watu wanauana kama wanyama benghazi(kwa waarabu),
Ivory Coast leo wanachinjana wanaweza kukaa na kuangalia(kwa Waafrika) kwa kuwa tunaweza kutatua maswala yetu hata ikimanisha tunaweza kuchinjana wanaangalia, tutaweza kutatua, ni maswala yetu!

Gaddafi, yamemkuta, kama viongozi wengi hapa barani wameng'ang'ania madaraka kwa mda, bara letu limeamka hivo, kwa mabadiko mengine kutokea lazima wang'oke, ang'oke.

Watanzania, kama tunaandamana, basi tuandamane kuwatetea wananchi wa Libya kwani wao ndio wanalia faulu na sio Gaddafi.

Watanzania, kama tunaandamana, basi tuandamane kuona nchi za ulaya na marekani zinafanya usawa kuleta usawa hususan Sierra Leone, inasikitisha kuona, wanaangalia.

Ndio, ni mila na desturi na tamaduni zetu sisi Watanzania, temesahau alivyotufanyia 1972-1979....Lakini tusikae na kuangalia unyama unaofanyika Ivory Coast, tuandamane kwa hayo pia!

Lidumu Bara Letu!
 
Binafsi ningependa kama hawa waandamanaji/waasi, wangeipigania nchi yao wao wenyewe bila kuruhusu uingiliaji wa kigeni, na wangekuwa mashujaa wa kweli, kulaumu uingiliaji, na huku tukijua kuwa wanaosaidiwa ndio waliowapokea,bado si haki. Sauti iliyonyamaza ya AU iungurume tusikie, na kuwe na maandamano ya kuwalaani walibya kwa kuruhusu wageni kusaidia kuiharibu nchi yao!
 
This was from a US Congressman, and apparently he had the same views, i quote...." How can we pretend to hold other sovereign to fundamental legal principles through wars in foreign lands if we do not hold our own..."
and he further said, "...if America exceeds its legal authority and determines to redefine internetional law, we journey away from an international moral order and into the amorality of POWER POLTICS where the rule of force trumps the rule of law..."
and further cited, "...However horrible those internal conflicts may be, these local conflicts can become more dreadful if armed intervention in a civil war results in the internalization of that conflict"
 
Hii nimeikopi kutoka jukwaa la "Hoja na Habari Mchanganyiko".

Nimeona Pale si Mahala Pake.

Inakosa Wachangiaji.

Lakini hii thread ina hadhi ya Nyota 5.

WanaJF Tuchangie:

Imeandikwa na TITAN

In 1972 and 1979, Gaddafi sent Libyan troops to defend Idi Amin when we attacked him. I remember a Libyan Tupolev 22 bomber trying to bomb us in Mbarara in 1979. The bomb ended up in Nyarubanga because the pilots were scared. They could not come close to bomb properly. We had already shot-down many Amin MIGs using surface-to-air missiles.
The Tanzanian brothers and sisters were doing much of this fighting. Many Libyan militias were captured and repatriated to Libya by Tanzania. This was a big mistake by Gaddafi and a direct aggression against the people of Uganda and East Africa.

je!! nikweli watanzania tunanini cha kumtetea Gaddafi, kwa lipi kubwa alilo tufanyia mpaka tuandamane?

Je,pia unajua ni watu gani walioandamana ok kifupi ni wale waliojengewa visima
vya maji chumvi pale Dar es salaam na mimi siwahukumu ila nataka tujwajue tu
na kwa upande wa Gaddafi alikuwa anamtetea swahiba wake na baada ya kuona
ameshindwa akaona awasahaulishe kwa visima vya maji chumvi.
 
Back
Top Bottom