Recent content by monamae

  1. monamae

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Ameitelekeza gari ile ya udhurungi
  2. monamae

    PhD siku hizi imeshuka hadhi

    PhD ni Doctor of Philosophy Lakini PhD nyingine ni "Permanent Head Demage" maana ukimwona yule wa cuf na wale walioteuana wa chama cha mbogamboga utakubali tuu Nawaza kwa nguvu
  3. monamae

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Upi uongo wa ulionenwa kuhusu Daud Bashite?
  4. monamae

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Madini yetu utadhani yana majini hatunufaiki kwayo.
  5. monamae

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Sana sana Bashite nauona wake mustakabali..
  6. monamae

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wamanjano hao ni timu ya jangwani na wekundu ni timu ya msimbazi
  7. monamae

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wachezaji wa mchezo wa "wa mwisho ndiyo mshindi" pia ni wanafalsafa
  8. monamae

    Watanzania ni watu wa ajabu sana!, Wanamwaminije Gwajima kuliko Rais wao?

    Nimesoma comment nyingi, wengi hawakumwelewa mtoa post hivyo. Wengi wana mihemko na ushabiki. Kweli ukitumia jamii forum kama sample. Watazania wengi wanaweza kudanganyika wakati wote
  9. monamae

    Karla Jacinto: Msichana aliyebakwa mara 43,000

    Alihesabuje? Au alikusudia kuvunja record?
  10. monamae

    Mahusiano ya padre Pio wa Italia na Deo Kisandu wa Tanzania

    Sio huyo. Huyu jamaa yuko mwanza ni mwalimu anaishi maeneo ya Mkuyuni na Butimba. Alikuwa Chadema akahamia NCCR, then ACT then CCM then anadai hana chama.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Back
Top Bottom