Recent content by mompome

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kwa jinsi anavyoumia kuona rasilimali za Tanzania zinavyochezewa. Kweli ni naanza kumwelewa rais wangu mpendwa.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyu mdudu anaitwaje?. Je, ana madhara endapo amekung'ata?

    hao ukiwaua ngozi yako itakuwa inapauka balaa. Hata ukipaka mafuta hayashiki.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nissan Caravan inauzwa

    umeshauza?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nissan caravan

    engine ya Qd
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nissan caravan

    ofa inarange kulingana na gari, dar kuja inawezekana
  6. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nissan caravan

    Wadau natafuta nissan caravan kwa ajili ya biashara, ikiwa arusha itakuwa poa zaidi.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Baba mwenye wake watatu kaokoka, je ataenda nao wote kanisani?

    Atakaa nao wote kwani alikuwa nao kabla ya kuokoka.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msaada Azam TV

    Mi nauza changu
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mayai ya kroiler kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana

    Sio ndege ni yale mamijusi makubwa kwa lugha nyingine ni dinoceros
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyowahi kutapeliwa, Wewe je?

    Nimeipenda hii. Hasa jinsi ulivyoisimlia, nimecheka sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua bei za mashine za kusaga na kukoboa unga

    Umeme inakula zaidi ya mashine ya kawaida maana ina vimotor vingi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua bei za mashine za kusaga na kukoboa unga

    Ukifunga hiyo unaweza kukoboa tani 50 kwa siku halafu mchele wake ni wa hali ya juu maana inagred.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua bei za mashine za kusaga na kukoboa unga

    36m mashine ya kukoboa mpunga na kugred mchele, Chaula aliuliza habari za mashine ya MPUNGA.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kujua bei za mashine za kusaga na kukoboa unga

    Mashine kubwa ya kukoboa na kugrade kwa wakati mmoja ni 36m, waulize polymachinery wanaziuza.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Leo nimebaguliwa na Wahindi

    Na wewe ungebana pua, mbona hata wao wananuka?
Back
Top Bottom