Mayai ya kroiler kwa ajili ya kutotolesha yanapatikana

brainscracher

Member
Feb 22, 2016
47
9
kama una hitaji toa oda yako ,kuanzia wiki 1-2 kutokana na oda zilizopo
oda ikikamilika unajulishwa then utalipia na kupata mzigo.

tray ni tshs 16,500/=
 
kama una hitaji toa oda yako ,kuanzia wiki 1-2 kutokana na oda zilizopo
oda ikikamilika unajulishwa then utalipia na kupata mzigo.

tray ni tshs 16,500/=

Hii biashara gani sasa
huoni ungeweka number
ni rahisi kutafutwa,hao kuku wako ni kizazi cha ngapi i mean ni F1,2,3,au F4
na uliwanunua wapi???
 
Hii biashara gani sasa
huoni ungeweka number
ni rahisi kutafutwa,hao kuku wako ni kizazi cha ngapi i mean ni F1,2,3,au F4
na uliwanunua wapi???

mkuu naingia jf zaidi ya mara tano

kuhusu f1 f2 siwezi jua sababu walinunuliwa kama vifaranga hatujawahi kuwauliza walio tuuzia kuwa ni uzao wa ngapi geneticaly.

ila kwa hawa waliopo kwangu ni f1, huwa tunatotolesha na kuuza ila kwa sasa mashine ni mbovu inahitaji marekebisho kidogo natumaini umenielewa na kama upo interested just pm i give u a number we do busness thats all to me busness means busness .

naelewa swali lako ni lamsingi kiufugaji hasa unapofanya breed crossing crossing thanks.
 
u

Unachanga unajua cross breed pia zina madhara wewe umesema ujui kama ni f1 f2 lakini hapo hapo unatuambai hao wako ni f1 am sure your are not aware of what you are trying to tell us.Tafuta Dr.wa Mifugo tena BVM Kutoka SUA akushauri.

hayo ni mawazo yako sihitaji ushauri nahitaji kupanua soko hii biashara sijaaanza leo na kuku waliopo wapo vizuri unless unakitu kingine cha ziada ndugu.

madhara ya cross breeed hayajifichi kama virus wa HIV yanaonekana dhahili nimeyatototlesha na nitatotolesha na ingekua tatizo wateja nilio fanyanao kazi wangeshanambia
 
Sorry and have a nice business.
 
Sio ndege ni yale mamijusi makubwa kwa lugha nyingine ni dinoceros

@ mompome ushindwe katika jina la Yesu maaana unawapotosha hao walio wadogo katika ufugaji ingekua muktadha wa kiblia unafaa ufungiwe jiwe la kusagia ukatupwe baharini ukiwa huna cha kupost kaa kimya hulazimishwi kumjibu mtu .
 
'mayai ya kroiler' wapoje Ndege wake? jamii ipi

kuroiler ni kuku chotara anaetokana na crossing ya Broiler na kuku wa kienyeji hususan colored broiler jogoo na Rhode Island Red koo, au White leghorn jogoo na jike Rhode Island Reds.
 
Back
Top Bottom