Wakili Jerome Msemwa amejitoa kwenye kesi inayowakabili Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, TFF Malinzi na maofisa 2 wa Shirikisho hilo....
Unaweza Kupata Updates zaidi Twitter follow @lifeofdeo
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ameunda Kamati Maalumu ya wajunge tisa (wabunge) itakayochunguza suala la uchimbaji wa Madini ya Almasi hapa nchini ambayo itafanya kazi siku 30.
Spika Ndugai ametoa orodha ya Wabunge hao leo bungeni mjini Dodoma wakati wa...
Mpaka Kufikia mwishoni mwa wiki hii klabu ya soka ya Everton inategemea itakwisha Kamilisha usijili wa mshambuliaji wa Manchester United Wayne Rooney Waza.
Chelsea wako katika hatua za mwisho za Kimsajili kitasa kutoka Roma Antonio Rudiger kwa Ada ya Pauni Million 34. Sababu moja wapo kubwa ya beki huyo wa kijerumani ni kwamba amepatwa na majanga ya ubaguzi wa rangi nchini Italia mara kadhaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.