Tecno c8 update

Tecno c8 update

Update: hakikisha una dawnlaod hadi ifike 867.94 au 868.
 
Kuna tofauti ya stand by ya chaji niliyoiona baada ya kuupdate. Kabla simu ilikuwa na uwezo wa kukaa siku tatu ila baada ya kuiupdate kukaa saa 24 imekuwa shida. Je ninawezaje kuondoa update zake nibaki kwenye ile vision ya zamani
 
Hilo unalo lisema nikweli mkuu, simu imekuwa ina tumia chaj fasta sana.
Kutatua hilo tatizo ni hadi ku flash kwa Rom ya lollipop ya C8. Na TCRA nimeshangaa wanasema ku flash simu ni kosa la Jinai.
 
mkuu naomba msaada, nataka ku- update lg g2 kutoka kitkat 4.4.2 hadi lollipop au marshmallow
 
Nilianzisha hii thread kwa tecno c8 kwakuwa ndio ambayo ninauelewa.
Labda shida yako ungeifanya kama thread kwa msaada zaidi. Au mtaafute Chief-Mkwawa humu.
 
c03c27790adcb345103076164ba8e3d2.jpg
 
Nimedownload Lakini wapi Linagoma Pale kwenye androi inaandika No Command
 
Mbona kama hujaeleweka, kudawnload na jambo moja na hapo kwenye no comand ni jambo la pili, swali je tayari hiyo update umesha idawnload ina 868 Mb.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom