Bungeni Dodoma: Spika Ndugai aunda kamati itakayofuatilia mfumo wa uchimbaji wa madini ya Almasi

mombury

Member
Jul 25, 2014
19
8
Spika Ndugai aunda kamati ya Wabunge 9 itakayoongozwa na Mussa Zungu kwa ajili ya kufuatilia mfumo wa Uchimbaji wa Madini ya Almasi...

6a7386d836a5bfcc68f31c92eb0ee339.jpg
 
Hizo kamati bila shaka wanalipwa!
Aisee natamani na mie niwe mbunge halafu nipangwe kwenye hizo kamati
 
Hivi ayo ni majukumu ya bunge?
Bunge mpaka sasa limeshashindwa kutimiza majukumu yake. Budget yenyewe hewa, matatizo ya wananchi hayafikishwi. Anayebugi kuyafikisha anafukuzwa bungeni. Mi naona tusiwe na wabunge. Wakuu wa mikoa na wilaya wanatosha asee.
 
Upinzani wamemuweka mbunge mmoja tu wa CUF, hii sio kamati ya bunge iliyokamilika
 
Hizi kamati ni ufujaji tu wa pesa... Sijui hamna mamlaka husika za kufuatilia hayo mambo.. Ndio kama yale BRN kina Mnyika walisema hakukuwa na sababu ya Presidential bureau... Magufuli akaja kuifutilia mbali
 
Napenda sana kujua zile Kamati zilitumia hela kiasi gani na kutoka bajeti gani
 
Hili alielekezwa alifanye na Rais siku ile ya Makinikia Day..
Aisee kumbe sasa Bunge ni kitengo cha Dola kabisa.
 
Mmmmhhhh! Na huo Ubunge uliokuwa unautamani ni wa Inbox na mi assist madam!?
Toba yarabi Mola tunusuru na viumbe hawa kwa mioyo ya tamaa. Wajaalie Upendo na kujitolea mbele zetu bwana......Amen.
Sala yako imepokelewa, hahahahahaah. AMIIINAAAA
 
Back
Top Bottom