Recent content by MomB

  1. MomB

    JamiiForums Tanzania Miliki pikipiki yako ya TVS

    Nimeweka picha ya 125 gear 5 hapo juu mkuu.
  2. MomB

    JamiiForums Tanzania Miliki pikipiki yako ya TVS

    Tunauza pikipiki zote za tvs kwa bei nafuu sana. Tvs 125 4 gear utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 2 na laki tisa tu. Tvs 125 gear 5 utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 3 na laki moja tu. Tvs King ya mafuta utaipata kwetu kwa bei ya shilling Million 9 na laki 9 tu, Tvs king ya...
  3. MomB

    JamiiForums Tanzania Celebrities wa Tanzania waliobadili dini na kuwa Waislam

    Mwijaku hajabadilisha dini, wazazi wake ni waislam kabisa.
  4. MomB

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

    Umerogwa mkuu.
  5. MomB

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga niifanye ofisi

    Boss ukipata hiyo ofisi naomba Ajira.[emoji120]
  6. MomB

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuaje binadamu mwenzio anakuwinda maisha namna hii?

    Watu wa karibu ndo wanakuuza.
  7. MomB

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kazi ya Supervisor kwenye sheli (petrol station) ni zipi?

    Yaani[emoji23][emoji23]
  8. MomB

    JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata kazi kupitia JF

    Hongera sana mkuu.
  9. MomB

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa dawa ya sikio

    Shukrani mkuu.
  10. MomB

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa dawa ya sikio

    Mimi nilinunua tu mtaani mkuu.
  11. MomB

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa dawa ya sikio

    Shukrani sana mkuu, kesho asubuhi nipo hapo.
  12. MomB

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa dawa ya sikio

    Ulitumia kwa siku ngapi mkuu.? Maana nimeambiwa hiyo pia Nina siku 4 pia natumia Lakini Hali bado.
  13. MomB

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa dawa ya sikio

    Wakuu habari za jioni, kama kichwa Cha habari kinavyosema hapo juu naombeni msaada jamani sikio litaniua. Nina wiki ya tatu saizi nahangaika nalo nilienda hospital mara mbili nikatolewa uchafu huko na kuchomwa sindano nikapewa na dawa pia. Lakini wiki hii yote Hali imezidi kuwa mbaya dawa...
  14. MomB

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya Dereva wa gari la shule

    Seriously..?
  15. MomB

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya maneno tata ya wasanii wa Singeli sio sawa

    Mama Aminaaaaaaaaaa!
Back
Top Bottom