Recent content by MOJ95

  1. MOJ95

    Unarudi kitaa ulipokulia unakuta washkaji wote hawapo. Zimebaki kumbukumbu tu za Kijiwe chenu. It's a very painful moment.

    Maisha haya achane tu, vitu vinabadilika sana. kuna mwana alikuwa very fun full usela, huwezi ukakaa nae dk. mbili hujacheka. sasa hv mwana kaokoka hana tena yale makeke yan huwezi ata kumchukua ukaenda nae sehemu za starehe kunywa n kuhave fun yeye n mwendo w soda labda n juice akibadilisha...
  2. MOJ95

    Tetesi: Mzize asusa kusaini Yanga, Kutimkia Simba!

    Hana ubavu huo wa kususa simba bwana mnajua kujifariji..
  3. MOJ95

    Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    We naye mavi matupu.. unaandika uharo tu apa. ebu tuache watu tumevurugwa kipenzi chetu anaondoka..
  4. MOJ95

    Ally Kamwe: Ni wakati sasa wa kijana wenu kuondoka Jukwaani

    Mnaonaje tukiandaman jmn! wanachama wote n mashabiki tuungane kumkataa Manara, hatumtaki.. Yani mnamtoa mtu anayejua mpira n kanuni zake mnamleta huyo lopolopo
  5. MOJ95

    AFCON: Shabiki wa Algeria atimuliwa Ivory Coast

    Ukisikia mtu mzima ovyo! ndo huyo
  6. MOJ95

    Timu za Kariakoo ifike mahala msajili wachezaji toka Afrika Kaskazini na muachane na Afrika ya Magharibi na Kati

    Kwa mpira gan wanaocheza hao kaskazini, m sijaona. wanachojua ni vurugu tu n fujo hlf CAF ipo tu inawaangalia na haina cha kuwafanya. we angalia ata mechi zao zinavyopangwa na kuchezeshwa
  7. MOJ95

    Utajiri wa Magofu ya Rapta

    Bampa to bampa..
  8. MOJ95

    TANZIA Joel Misesemo afariki dunia kwa kujirusha kutoka ghorofani jengo la Derm eneo la Makumbusho, Dar

    Sawa magonjwa y akili yapo ila sometimes ata juju (uchawi) unahusika, msichukulie poa mtu kujidhuru mwenyewe.. Play safe
  9. MOJ95

    Kwa nini wanawake wana juhudi kubwa na huwa wazingatiaji sana katika masuala dini na Mungu kuliko wanaume?

    Mkuu ukielewa dhambi ya kwanza dunian ililetwa na nani wala hutapata shida.. Inshort hao ndo wahanga wakubwa wa kila kt kinachoendelea apa ulimwenguni. So wanaenda sehemu za ibada kwa wingi kujifariji au kutafuta huruma ya the so called God
  10. MOJ95

    Je, wajua? Kukimbia kuligunduliwa na Thomas Running mwaka 1784

    Pumbavu. ndivyo mnavyodanganywa na hao wazungu
  11. MOJ95

    Lazima kijana utambue mambo yafuatayo ndipo ufanikiwe

    Japo sijasoma yote lkn upo sahihi kiongozi.
Back
Top Bottom