Recent content by mohoro

  1. M

    JamiiForums Tanzania Nisome chuo au Advance

    acha kutegemea misimamo ya wengine stay focusted on ur own.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

    haiusiani na mustakari wa taifa, hata kama familia yake ingetoka sayari ya mars.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

    :high5:
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi Kusahau Definition nilizokariri nikiwa form I and II - Science

    Hakuna Hekalu Lingine Bethelehem Bongo Chungu nk.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Siwezi Kusahau Definition nilizokariri nikiwa form I and II - Science

    nakumbuka rafiki yangu alitumia nusu saa nzima akijaribu kusolve tarehe kwa kule kudhahani kuwa ni swali, mwisho akumuuliza msimamizi mbona swali hili halina sawa sawa? akajibiwa tarehe hiyo.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tray 25 za mayai zimemfikisha hapa mtoto huyu!!!

    Na kutokana na kuongezeka kwa maovu upendo wa wengi utapoa, na watu watakuwa wenye kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hamisi Kigwangalla ambandika label Tundu Lisu kuwa 'adui wa maendeleo ya vijana'

    Msiogope enyi kundi dogo (CDM), kwani Mungu wa mbinguni ameona vema kuwapa ninyi hii dola frm 2015 onwards.AMEN
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nampenda Evelyn Salt

    Achana na mambo hayo kwani kila mtu aziniye na mwanamke hana Akili kabisa afanya jambo la kuangamiza nafsi yake mwenyewe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Papa na Nyangumi wa hatari

    sijui nikamate tu?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Jamani niende au nisiende? msaada....

    ushauri wangu kati ya hivyo vitatu yaani NIENDE, AU, na NISIENDE chagua AU. ndo nzuri.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Operesheni mchaka mchaka hadi 2015 ya CUF imefia wapii?

    nimeipenda hiyo V4C kwishiney
  12. M

    JamiiForums Tanzania Juliana Amedanganya kwamba hajapewa barua ya kufukuzwa

    Mtu ataishi kwa kula tu ila kwa kila neno litokalo kwa Mungu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania maneno ya mwisho ya DR SLAA siku moja kabla ya uchaguzi 2010 haya hapa

    nimeona kalete vilivyobaki
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kummaliza Dr. Slaa sasa umeiva na kazi imeanza kutekelezwa

    DR Slaa, watesi wajapojipanga kupambana nawe My presdaa, Watapambana na mkono wa Mungu kwani uhai wako umefichwa mbali na Mungu muumba mbingu na nchi. piga kazi.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza: Mimi bado ni Makamu Mwenyekiti BAVICHA...!

    Makamu mwenyekiti wa BAVICHA Kwa imani tu, si kwa matendo. na imani bila matendo .........?
Back
Top Bottom