kwani nawe unanipenda?
mmmh jamani watu kwa kuingilia mambo ya watu!!! mapenzi watu wawili wa 3 mnafiki
Evelyn Salt mwambie akitaka iwe ndoa ya mkataba, jf ndoa siyo zaidi ya wiki moja.
just expresing how i lov the lady,...how far i can go to show ma lv to her....xory kama imekuboa
Amesema kishaniona!!!!!!!!
im twenty eight
Achana na mambo hayo kwani kila mtu aziniye na mwanamke hana Akili kabisa afanya jambo la kuangamiza nafsi yake mwenyewe.
Mi Wala Sikujui Ila Karoho Kananinyetua Dzyn Kama Naanguka Kwako
Ila Kwa Sasa Nasubiri Kama Umemkubalia MBWIGA
Sema Basi EVELYN jaman!