Recent content by Mohamedmussa Ng'onye

  1. M

    Kozi gani inalipa kuisoma sasa hv?

    Wewe PCM automatically engineer though sio lazima.. Kaachini, fikiri kitu gani unakipenda na Unakiweza ukisoma utakeenjoy.. Then piga Shule.. Usiwaze ajira saivi, ajira weka kama second option, waweza kuja pata Ideas nzuri baada ya kufika chuo ushangaa unaanzisha project zako na kuwa...
  2. M

    Je unasumbuliwa na low voltage nyumbani kwako?nipe ajira!

    Thread kama hizi ndio za great thinkers na sio zile za udaku wa kisiasa.. Keep moving brother.. Google a lot kupanua knowledge yako na kupata ideas za kufanikisha projects..
  3. M

    Habari za nje kuhusu bomu la Arusha mkutano wa CHADEMA

    I thnk kuna kitu nje ya siasa kinatake advantage so if the gov is serious!! Interpool should act accordingly on ths or else tutabaki na mawzo ya U CCM na CHadeMA kumbe kuna zaidi ya hapoo Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  4. M

    WARAKA WA WAZI KWA LADY JAY DEE kUHUSU WIMBO YAHAYA

    LICUD ww ndio umetafsiri hivyo na ndio utakua chanzo cha uchochez!! Ametumia jina ki kawaida kabisa sababu wapo watu wenye majina kama YAHAYA, Emmanuel, Elia ambayo yana maana kubwa sana but wanatabia ambazo huwez amini.. So ichukulie kama ni Yahaya au Amos flan wa sinza ivi au pale kwa mtogole...
  5. M

    hili linaweza kua zali au nitaliwa

    Ur punk'd Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  6. M

    kisonono kinasononesha

    Kaka Dawa zipo, usione aibu nenda kwa Daktari mpe fact in a week unakua sawa, Mpenz usimfiche danganya hata Allerge kama ukisema kweli ushaloose faith Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  7. M

    Badilisha Modem yako kuwa universal

    @Yegela nilink na hiyo Thread nijaribu Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  8. M

    makahaba wastaafu!

    Can congrats kwa kujikinga all those years with no ajali kazini Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  9. M

    Kazi za Sales and Marketing/Public relation Ndo Mpango Mzima

    Hakuna kazi nzuri wala mbaya..tunategemeana..mm ninaechomwa najua kusell na kumarket juani nawezesha kampuni, aliye ofisi nae anapokea report zangu na tathmini na mwendelezo kwa wengine mpunga uimarishe kampuni maisha yaende Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  10. M

    Imethibitika: Kutoka nje ya ndoa husaidia kupunguza uzito wa mwili kuliko kujinyima….!

    Natilia shaka hili though still single but for couples usijaribu utanogewa Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
  11. M

    Hamia huku, upate zaidi..

    Wataku PM mabasha then siku ya appointment ujute na roho yaho Sent from Nokia Tochi
  12. M

    watoto wao wanawaingiza nafasi nzuri BOT. TRA, NHIF n.k, wanatuambia sisi tujiajiri

    huwa wengi tunataka tuanze na dream job..jaman anza na kaz yoyote ht ktk compny za usafi.. then humo ndani unapata channel na info sasa..ukiwa nje kupata taarifa ishu ndugu..mifano watu waloanza chini ipo..msichoke kutafuta..
  13. M

    Kuhusu barua za kazi

    pia, jaribu kupitia tena hzo ofic kuwakumbushia kwamba ulishaleta maombi .ofic nying wanatunza ila mlundikano unawafanya wawe wavivu kuzpitia..
  14. M

    Kazi ya kufanya online/internet

    pia pitia.. Paid to Click Advertising at ClixSense zinahtaji uvumilimu sio ya labda mwezi udhan utapata labda million..wanakua na task nyingi bt una earn kidogo kidogo mpka kama 6months ivi ndio utaanza ona matunda depend na how hard and fast u click daily
Back
Top Bottom