Kozi gani inalipa kuisoma sasa hv?

Kozi gani inalipa kuisoma sasa hv?

Mi naona hauko serious, unataka kusoma from nowhere!! Ungesema uko na sifa gani, lakini all in all kusomea ualimu usiende, nyingine zote soma hasa moja ambayo huenda mtakuwa wachache Tz inaitwa Bachelors of ACTURIAL science sijajua km tz kuna chuo au lah ila kenya ipo. Kila la kheri
 
Waau naomba mnisaidie nataka kusoma lkn sijui nisome kozi gani ambayo inalipa kwa sasa, msaada tafadhali!

soma masuala ya entrepreneurship ukawe mjasiriamali ajira zote za kulipwa mishahara humpumbaza mtu jifunze kuajiri badala ya kuajiriwa
 
kama kweli unataka wadau tukusaidie lazima ujieleze vya kutosha . Mfano wewe unaelimu gani kwa sasa, umesoma masomo gani, umefaulu masomo gani?. Kwa kuelewa hayo tutaweza kukushauri mengi kwa kuzingatia ushindani wa kozi mbalimbali katika mchakato wa kudahili, uwezekano wa kupata ajira au hata kujiajii n.k.Thanks

Thanx mdau, ni kwamba elimu yangu ni ya kidato cha 6, mchepuo PCM, na nilipata 'DDD', nahitaji kusoma hapahapa nchini.
 
soma masuala ya entrepreneurship ukawe mjasiriamali ajira zote za kulipwa mishahara humpumbaza mtu jifunze kuajiri badala ya kuajiriwa

Inafundishwa chuo gani hiyo kozi mdau?
 
Kasome kozi zisizoishiwa soko,kama vile;Civil engineering,electrical engineering,mining engineering,mechanical engineering n.k.Pia jichunguze wewe binafsi kipaji chako ndipo uchague kozi unayoendana nayo,sio unachukua Civil wakati huna kipaji cha maths wala huna interest na ujenzi.
 
Wewe PCM automatically engineer though sio lazima.. Kaachini, fikiri kitu gani unakipenda na Unakiweza ukisoma utakeenjoy.. Then piga Shule.. Usiwaze ajira saivi, ajira weka kama second option, waweza kuja pata Ideas nzuri baada ya kufika chuo ushangaa unaanzisha project zako na kuwa unajitegemea.. So Focus on your passion na sio hii emotion world yetu ya Kitanzania.. Itakuponza kama maengineer waliosota miaka Mi4 chuo alafu anakuja fanya Masterz ya Biashara anakua Mhasibu.. Why hakuenda Accounts tu mapema??? Just Focus
 
Waau naomba mnisaidie nataka kusoma lkn sijui nisome kozi gani ambayo inalipa kwa sasa, msaada tafadhali!

Kila kozi inalipa, inategemea na mazingira na channel utakayokuwepo kipindi umemaliza!!so soma kozi unayoipenda ili ikupe urahisi kujifunza,,Interest ni muhimu katika kusoma, maana unaweza kusoma kitu chochote lakini ukamaliza ukamaliza ukiwa Empty hii ni kwasababu ulichokisoma haukua na Interest nacho ivyo kukosa hamu ya kukifatilia kwa karibu na badala yake ulikua ukikariri na kujibu mitihani tu.
All the Best.
 
Thnx mdau.
 
Nashukuru kwa ushauri mdau!
 
Hakuna kozi isiyolipa.
Ni mbwembwe tu za watu, somea unachopenda.
 
Thanx mdau, ni kwamba elimu yangu ni ya kidato cha 6, mchepuo PCM, na nilipata 'DDD', nahitaji kusoma hapahapa nchini.

Triple D? Nenda chuo cha nyuki manyara chagua kozi yeyote inayohusu nyuki utatoka si unajua pinda ndio balozi wa nyuki lazima utapata shavu.
 
Waau naomba mnisaidie nataka kusoma lkn sijui nisome kozi gani ambayo inalipa kwa sasa, msaada tafadhali!

Daaa!! Dogo km comb yako ni PCM kasome Petroleum &Minerals Engineer yaani hii fani inalipa sana sasaivi kuna watu wanalipwa hadi Usd 20,000, changamka ukasome hii fani utakuja ona matunda yake mwenyewe.
 
umefaulu kwa kiwango gani A-level? Ulikua fiti somo lipi kati ya P,C & M?
 
Back
Top Bottom