makahaba wastaafu!

makahaba wastaafu!

580134_460299707376426_1132379952_n.jpg

MAPACHA wenye umri wa miaka 70 nchini Amsterdam, Uholanzi, wameamua kustaafu kazi yao ya ukahaba baada ya kuifanya kwa miaka 50. Mapacha hao Louise na Martine Fokkens wameamua kustaafu baada ya umri kuwatupa mkono na kudai kuwa kwa sasa hawapati wateja. ...

Louise na Martine wamelala na jumla ya wanaume takribani 355,000, kila mmoja akiwa amejivinjari na wastani wa wanaume 177,500 kwa kipindi cha miaka 50, ambapo kwa mwaka mmoja kila mmoja alikuwa analala na wanaume 3,550 sawa na wanaume 295 kwa mwezi na kwa siku wanaume 9.

Mapacha hao ambao wanadaiwa kuwa makahaba wenye umri mkubwa zaidi jijini Amsterdam, walianza kazi hiyo wakiwa na umri wa miaka 20. Mapacha hao ni wazazi wa watoto saba, Louise akiwa na watoto wanne, na Martine yeye ana watoto watatu.
Mapacha hao ambao walikuwa wakipenda kuvaa sare ya nguo nyekundu walitoa Filamu ya simulizi za kweli iitwayo 'Meet the Fokkens' na wanatarajia kutoa kitabu kitakachoelezea safari yao katika biashara ya ngono

Hawa hatuwajuwi, tuwekeeni wabongo.
 
Du! Watakuwa walikichanga balaah ! Wanaume tisa kwa siku ,kila mmoja akitoa 20$ ni sawa na 180$ kwa siku ambako ni sawa na 3,600$ nakwa mwezi kwa maana ya kupiga mzigo 20 Dayz tu .Hilo ni kadirio la chini coz bila >50$ Jijini Amsterdam ni ngumu sana kudaka kitu chenye viwango
Smile Kibongo bongo ni sawa na 5,904,000/- Tsh (Rate 1640).Mshahara huu hata waziri wa Serikali ya JK haupati ukiondoa ufisadi ,bahasha za kaki na safari hewa nje ya nchi .
 
Last edited by a moderator:
hao watu 9 kwa siku na zingine ni zaidi ukiondoa zile za ujauzito kuumwa nk. je kila mwanamume alitumia muda gani na inawezekana vipi kia siku upate wanaume 9 tofauti. au ni mara tisa kwa siku bila kujali idadi ya wanaume?
 
ahahahhahahhah yani miaka hamsa kitu kinapigwa mti ngozi tu!lol!
 
Nawaombea waokoke, ili siku ya mwisho wakafurahi wakiwa kifuani kwa Ibrahimu.
 
Mh!!Kweli duniani kuna mambo,haya napita tu hapa wakuu....
 
kwa ile mvua ya jana sikutegemea kukuona tena humu ! Vipi mkuu za tabata kisiwani? Kumbe mpo
Hivi ni nani kakwambia ninaishi mabondeni...?
Nakukaribisha home ukamuone mama Ngina kama anavua samaki au anaangalia TV kwa raha zake...
 
580134_460299707376426_1132379952_n.jpg

MAPACHA wenye umri wa miaka 70 nchini Amsterdam, Uholanzi, wameamua kustaafu kazi yao ya ukahaba baada ya kuifanya kwa miaka 50. Mapacha hao Louise na Martine Fokkens wameamua kustaafu baada ya umri kuwatupa mkono na kudai kuwa kwa sasa hawapati wateja. ...

Louise na Martine wamelala na jumla ya wanaume takribani 355,000, kila mmoja akiwa amejivinjari na wastani wa wanaume 177,500 kwa kipindi cha miaka 50, ambapo kwa mwaka mmoja kila mmoja alikuwa analala na wanaume 3,550 sawa na wanaume 295 kwa mwezi na kwa siku wanaume 9.

Mapacha hao ambao wanadaiwa kuwa makahaba wenye umri mkubwa zaidi jijini Amsterdam, walianza kazi hiyo wakiwa na umri wa miaka 20. Mapacha hao ni wazazi wa watoto saba, Louise akiwa na watoto wanne, na Martine yeye ana watoto watatu.
Mapacha hao ambao walikuwa wakipenda kuvaa sare ya nguo nyekundu walitoa Filamu ya simulizi za kweli iitwayo 'Meet the Fokkens' na wanatarajia kutoa kitabu kitakachoelezea safari yao katika biashara ya ngono

Nakanusha kidogo kwenye hizo takwimu,!!!
mbona ulisema vina watoto?,inamaana hivo vibibi vilikuwa vinafanya na ujauzito hadi
siku ya kujifungua??
 
Hamna kitu K haina mileage "as good as new", kama zingekuwa zinasoma kuna watu huku wangekimbiwa.
 
Ila inawezekana vinaonekana vibibi ila maufundi utadhani kigori katoka kuchezwa kule chumbageni Tanga.
k siku hizi zinaungwa kama pilau...asali,iliki utamu unakuwa pale pale
 
Du! Watakuwa walikichanga balaah ! Wanaume tisa kwa siku ,kila mmoja akitoa 20$ ni sawa na 180$ kwa siku ambako ni sawa na 3,600$ nakwa mwezi kwa maana ya kupiga mzigo 20 Dayz tu .Hilo ni kadirio la chini coz bila >50$ Jijini Amsterdam ni ngumu sana kudaka kitu chenye viwango
Smile Kibongo bongo ni sawa na 5,904,000/- Tsh (Rate 1640).Mshahara huu hata waziri wa Serikali ya JK haupati ukiondoa ufisadi ,bahasha za kaki na safari hewa nje ya nchi .
daah noja nitafute visa nije nikiuze huko..hapa bongo hata hela ya daladala hupewi ni supu na michemsho tu
 
Back
Top Bottom