Kazi ya kufanya online/internet

Mparee2

JF-Expert Member
Sep 2, 2012
2,586
4,274
Wana Jf
Nimekuwa nikiambiwa kuwa wenzetu wa Nchi zilizoendelea mtu anaweza kufanya kazi part time online (with simple condition kuwa, awe na reliable source of internet)
Mimi nimesoma masomo ya biashara (Business studies) na nahisi ninakuwa na muda mwingi -jioni ambao nahisi naweza kuutumia kwa faida. Kama kuna mtu ana faham au anafaham website ambayo naweza kufuatilia..Tafadhali nijulishe...(unaweza kuni pm au namna nyingine unayo ona rahisi kwako)
Najua websites nyingi ni za matapeli ndio sababu nimeomba ushauri kwa aneyefaham na mwenye nia njema
 
poa mdau, ebu jaribu kutembelea hizi website: elance.com au guru.com, then fatilia maelekezo utayopewa
 
Nashukuru nazifanyia kazi nione kama hizi mlizo nipatia ni za ukweli...
Nakaribisha nyingine kwa anaye faham
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom