Recent content by Mohamed rubawa

  1. Mohamed rubawa

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mambo yakuzingatia wakati wa kununua gari kisheria

    Habari wa kuu nahitaji kufahamishwa kuhusu namna ya kununua gari, vitu vya kuzingatia kisheria. Msaada
  2. Mohamed rubawa

    JamiiForums Tanzania Ni ujuzi (skill) gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa kwa mwaka ujao 2023?

    Inshort shughuli zote ziko na maslai ya kufamtu! Main reason uaminfu finish.
  3. Mohamed rubawa

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ni taifa la kidini?

    ninachojua nikwamba serikali ya TANZANIA haina Dini, hivyo ndivyo ninavyo fahamu na kuna ayo maswali ya hivi kwa baadhi ya watu na sababu kuu ambayo inapelekea watu kujiuliza hivyo ni kwasababu watu wa nchi hii asilimia kubwa tuna DINI hivyo kama ni asilimia kubwa means kwenye hiyo asilimia kuna...
  4. Mohamed rubawa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya taxi mtandao

    Yeah
  5. Mohamed rubawa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya taxi mtandao

    Sawa Asante ndg
  6. Mohamed rubawa

    JamiiForums Tanzania Biashara ya taxi mtandao

    Habari kwa wakuu wote wana jamii, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nimepata mtaji na nimewaza kuanzisha biashara na katika kuwaza biashara nimeona kuwa biashara ya usafirishaji ndiyo biashara ambayo itanilipa vizuri. Hivyo nataka kununua gari ili nianze taxi mtandao. Kwa wenye uzoefu...
  7. Mohamed rubawa

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba bodaboda ana fursa na anamzidi kipato Mwalimu

    Malume uko sahii upande wa mustakabali wa kipato lkn kwa mtazamo wangu mimi mwalimu mlipe utakavyo mlipa lkn bado thamani yake haina mfano ni kama mzazi vile Huwezi kumlipa isipokuwa serikali inatakiwa kuwa tengenezea mazingila ya kujimudu katika maisha yao ya kila siku kama wanajeshi na kazalila.
  8. Mohamed rubawa

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mpenzi

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  9. Mohamed rubawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kupigiana simu kwa wanandoa

    Duuuh.. Okay binafsi nafikili ilo tatizo hutokana na vitu viwili moja tabia, wapo watu hiyo ni tabia yao yani hata nikikuliza swali apo kuwa iyo hali ilikuwepo hapo nyuma kama itakuwa katika upande huu wa tabia nadhani jibu utalipata and jambo la pili ni upendo, mahusiano ya kimapenzi ni kitu...
  10. Mohamed rubawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

    Chukua hii brah[emoji2935]
  11. Mohamed rubawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa single mama

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  12. Mohamed rubawa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeoa single mama

    [emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom