Biashara ya taxi mtandao

Oct 7, 2022
13
10
Habari kwa wakuu wote wana jamii,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nimepata mtaji na nimewaza kuanzisha biashara na katika kuwaza biashara nimeona kuwa biashara ya usafirishaji ndiyo biashara ambayo itanilipa vizuri. Hivyo nataka kununua gari ili nianze taxi mtandao.

Kwa wenye uzoefu naombeni ushauri kuhusu biashara hii tafadhali.
 
Bolt imerudi?
Yeah
Screenshot_20221125-050907.jpg
 
Habari kwa wakuu wote wana jamii,

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30, nimepata mtaji na nimewaza kuanzisha biashara na katika kuwaza biashara nimeona kuwa biashara ya usafirishaji ndiyo biashara ambayo itanilipa vizuri. Hivyo nataka kununua gari ili nianze taxi mtandao.

Kwa wenye uzoefu naombeni ushauri kuhusu biashara hii tafadhali.
Ukitaka kupata faida basi ufanye mwenyewe usikabidhi mtu.

Mfano tu: mimi niliwahi kuifanya gari yangu kuwa uber na kumkabidhi kijana na kuahidiana aniletee kiwango maalumu kwa wiki kama ilivyokuwa kwa wengine. Wiki mbili tatu za mwanzo tulikwenda vizuri lakini baadae kila tukisonga mbele wiki inaongezeka urefu, yaani badala ya kuleta fedha kila jumapili ikawa imesogea jumatano, wiki inayofuata ijumaa (hapo wiki moja ya kati imeondoka). Baadae niliona ujinga nikaiondoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom