Ni ujuzi (skill) gani ukiwa nayo huwezi kulala njaa kwa mwaka ujao 2023?

Tupeane Tips wakuu jinsi ya kuingia 2023 Kwa focus zaidi katika kutengeneza pesa kupitia ujuzi(skills) ambazo hazihitaji uwe na degree wala masters.
1- Ukipika chakula kizuri na ukazingatia usafi, hautolala njaa.

2- Ukiwa fundi mzuri wa magari makubwa au madogo na ukatangiliza uaminifu, hautolala njaa.

3- Ukiwa fundi mzuri wa kuchomelea vyuma na ukiwa muaminifu, hautolala njaa.

4- Ukiwa fundi ujenzi mzuri na ukawa muaminifu, hautolala njaa.

5- Ukiwa dereva wa bajaji/bodaboda na ukawa muaminifu, hautolala njaa.

6- Vijana jifunzeni hata kusuka/kunyoa hamtokosa pesa ya kula.

Zaidi nasisitiza vijana kuweka aibu kando na wasiwe wavivu huu mwaka 2023 wasisubiri kazi za degree zao.

Hayo ni kwauchache, naomba kuwasilisha...🙏
 
1- Ukipika chakula kizuri na ukazingatia usafi, hautolala njaa.

2- Ukiwa fundi mzuri wa magari makubwa au madogo na ukatangiliza uaminifu, hautolala njaa.

3- Ukiwa fundi mzuri wa kuchomelea vyuma na ukiwa muaminifu, hautolala njaa.

4- Ukiwa fundi ujenzi mzuri na ukawa muaminifu, hautolala njaa.

5- Ukiwa dereva wa bajaji/bodaboda na ukawa muaminifu, hautolala njaa.

Zaidi nasisitiza vijana kuweka aibu kando na wasiwe wavivu huu mwaka 2023 wasisubiri kazi za degree zao.

Hayo ni kwauchache, naomba kuwasilisha...🙏
Safi niongezee tu ukiwa kinyozi mzuri ukapata kona nzuri unapiga mawe
 
Zamani nilikuwa naona kuwa mpigaji ndio ujanja nikapiga pesa za watu kumbe ndio nilikuwa najiharibia Sasa nikiokota hata hela nikamjua aliyeidondosha nampelekea
Nimekukubali sana, hongera kwa kulitambua hilo naamini sasa utakuwa mwalimu mzuri kwa wengne ambao wanaamini upigaji ndo ujanja, kiufupi upigaji sio ujanja ila ni maandalizi ya kuifanya kesho yako kuwa ngumu zaidi ya leo
 
Back
Top Bottom