Nahitaji mpenzi

Nahitaji mpenzi

Baada ya yote hayo then asiwe tegemezi awe anchanzo Cha kipato mwanamke gani mwenye sifa hizo akakubali ujinga ulioandika ulichofeli kujua mwanamke atayekubali unachotaka Anasifa zake ambazo unabidi uzi ghalamie.
 
Mnamsema jamaa kwasababu amekuwa mkweli, wakat wanaume weng wanafanya haya...

Angekuwa Muislam Angeoa mke wa pili.

Kwasababu Ni mkristo ameamua kutafuta kiburudisho, Tena mdada mdogo kabisa. Kigoli .

Big up Sana Kaka. Nivema utafuta mke mdogo mmona atulize haja zako kuliko kutembea na Malaya au kubadilisha wanawake.

Najua mke mkoani huko anafanya kazi na anatunza familia pia. Ni ngumu Kuja mjini kila wiki .
 
Hofu ya Mungu afu unataka mchepuko bro you are not serious
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom